Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Al Zahar: Israel ni adui wa nchi zote za Kiislamu

    Al Zahar: Israel ni adui wa nchi zote za Kiislamu

    Apr 30, 2017 11:44

    Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel ni adui wa nchi zote za Kiislamu na kwamba njama za utawala huo pandikizi zinalenga kuuangamiza ulimwengu mzima wa Kiislamu.

  • Utawala haramu wa Israel hauna nafasi aktika mustakabali wa Mashariki ya Kati

    Utawala haramu wa Israel hauna nafasi aktika mustakabali wa Mashariki ya Kati

    Apr 28, 2017 10:10

    Katibu Mkuu wa Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesema: "Maadui hatimaye watasalimu amri kuhusu utatuzi wa kisiasa wa kadhia ya Syria na kwa yakini utawala haramu na wa kigaidi wa Israel hauna nafasi katika mustakabali wa Mashariki ya Kati."

  • Jumatano tarehe 26 Aprili, 2017

    Jumatano tarehe 26 Aprili, 2017

    Apr 26, 2017 08:17

    Leo ni Jumatano tarehe 28 Rajab 1438 Hijria sawa na 26 Aprili 2017.

  • Kiongozi Muadhamu: Uislamu ndio sababu ya uadui wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran

    Kiongozi Muadhamu: Uislamu ndio sababu ya uadui wa Marekani na utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran

    Apr 25, 2017 11:37

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zinaipinga Iran ya Kiislamu kwa kuwa Uislamu umedhihiri nchini hapa na ndio unaozuia tamaa zao.

  • Israel yapatwa na wasi wasi kutokana na askari kuendelea kutoroka  jeshini

    Israel yapatwa na wasi wasi kutokana na askari kuendelea kutoroka jeshini

    Apr 25, 2017 11:37

    Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeonyesha wasi wasi mkubwa kufuatia askari wengi kuendelea kutoroka kuhudumu jeshini huko katika ardhi za Palestina unazozikalia kwa mabavu.

  • Jumamosi, Aprili 22, 2017

    Jumamosi, Aprili 22, 2017

    Apr 21, 2017 23:16

    Leo ni Jumamosi tarehe 24 ya mwezi Rajab 1438 Hijria sawa na tarehe 22 Aprili mwaka 2017 Miladia.

  • Wazayuni waendelea kujenga vitongoji vya Wazayuni katika ardhi za Wapalestina

    Wazayuni waendelea kujenga vitongoji vya Wazayuni katika ardhi za Wapalestina

    Apr 19, 2017 21:56

    Licha ya dunia nzima kulalamikia vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel za kupora ardhi za Wapalestina na ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni, lakini viongozi wa Israel wamepasisha mradi wa kujenga nyumba 212 za walowezi wa Kizayuni katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Baytul Muqaddas.

  • Wazayuni waendelea kuwanyanyasa Wapalestina

    Wazayuni waendelea kuwanyanyasa Wapalestina

    Apr 18, 2017 03:40

    Wimbi la unyanyasaji dhidi ya viongozi wa mateka wa Kipalestina katika jela za kutisha za Israel limeendelea kwa wanajeshi wa utawala huo dhalimu kuwahamishia mateka wa Palestina wanaogoma kula katika jela ya kuogofya ya Jalama ya Kizayuni.

  • Hatua za Wazayuni za kuyavunjia heshima maeneo ya Kiislamu, Palestina

    Hatua za Wazayuni za kuyavunjia heshima maeneo ya Kiislamu, Palestina

    Apr 14, 2017 10:17

    Walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na kupewa ulinzi na askari polisi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel wamevamia tena na kuuvunjia heshima msikiti wa Al-Aqsa na wa Haram ya Nabii Ibrahim (as).

  • Israel yaamuru kubomolewa Msikiti Ukingo wa Magharibi

    Israel yaamuru kubomolewa Msikiti Ukingo wa Magharibi

    Apr 14, 2017 03:17

    Utawala haramu wa Israel umetoa amri ya kubomolewa msikiti katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Quds Mashariki kwa madai kwamba msikiti huo ulijengwa bila ya kupata vibali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS