Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Waalgeria waandamana kulalamikia kuwekwa jina la Israel katika kitabu cha masomo

    Waalgeria waandamana kulalamikia kuwekwa jina la Israel katika kitabu cha masomo

    Sep 16, 2016 03:08

    Raia wa Algeria wamefanya maandmano kulalamikia hatua ya kuandikwa jina la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mahala pa jina la Palestina katika kitabu cha kufundishia nchini humo.

  • Makundi ya Kizayuni yataka kuhitimishwa kukaliwa kwa mabavu Palestina

    Makundi ya Kizayuni yataka kuhitimishwa kukaliwa kwa mabavu Palestina

    Sep 07, 2016 23:31

    Makundi kadhaa ya Wazayuni yametaka kukomeshwa kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina.

  • Wapalestina wasisitiza kupandishwa kizimbani wazayuni waliotenda jinai

    Wapalestina wasisitiza kupandishwa kizimbani wazayuni waliotenda jinai

    Aug 28, 2016 03:11

    Wapalestina wameendelea kutoa wito wa kutaka wazayuni waliotenda jinai katika vita vya siku 50 dhidi ya eneo la Ukanda wa Gaza wapandishwe kizimbani kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).

  • Viongozi wa Palestina kufuatilia haki za Wapalestina waliowekwa kizuizini na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Viongozi wa Palestina kufuatilia haki za Wapalestina waliowekwa kizuizini na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 27, 2016 03:19

    Waziri anayehusika na masuala ya Wapalestina walioko kizuizini kwenye jela za utawala wa Kizayuni ametangaza kuwa suala la watu hao litafuatiliwa kwa uzito mkubwa kwenye jumuiya za kimataifa.

  • Onyo la Wapalestina kwa utawala ghasibu wa Israel

    Onyo la Wapalestina kwa utawala ghasibu wa Israel

    Aug 24, 2016 02:00

    Kushadidi uvamizi na hujuma za utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Ukanda wa Gaza katika siku za hivi karibuni, kumekabiliwa na radiamali mbalimbali za Wapalestina.

  • Utawala wa Kizayuni waendelea kuchimba mashimo kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa

    Utawala wa Kizayuni waendelea kuchimba mashimo kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa

    Aug 21, 2016 23:26

    Msemaji wa Taasisi ya Waqfu na Turathi za Kiutamaduni ya Al-Aqsa amesema utawala wa Kizayuni wa Israel unaendelea kuchimba mashimo kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa.

  • Hizbullah ya Lebanon: Ugaidi wa kitakfiri ni mpango mbadala wa kukabiliana na muqawama

    Hizbullah ya Lebanon: Ugaidi wa kitakfiri ni mpango mbadala wa kukabiliana na muqawama

    Aug 21, 2016 10:48

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, ugaidi wa kitakfiri ni mpango mbadala wa kuja kuchukua nafasi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika kukabiliana na muqawama na mapambano ya wananchi.

  • Hizbullah yatoa onyo kwa uchokozi mpya wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon

    Hizbullah yatoa onyo kwa uchokozi mpya wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon

    Aug 19, 2016 03:34

    Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imetoa taarifa ya kulaani uchokozi na chokochoko mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mamlaka ya kujitawala ya Lebanon katika mashamba ya Shab'a.

  • Mwanajudo wa Misri akataa kumpa mkono Mzayuni

    Mwanajudo wa Misri akataa kumpa mkono Mzayuni

    Aug 13, 2016 11:12

    Huwenda mwanamichezo wa judo raia wa Misri akaadhibiwa kwa kukataa kumpa mkono mpinzani wake raia wa utawala haramu wa Israel katika mashindano ya Olimpiki yanayoendelea huko Rio de Janeiro nchini Brazil.

  • Israel yamtia mbaroni mwakilishi wa UN Ukanda wa Ghaza

    Israel yamtia mbaroni mwakilishi wa UN Ukanda wa Ghaza

    Aug 09, 2016 23:13

    Utawala wa Kizayuni umemtia mbaroni mwakilishi wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Ghaza kwa tuhuma za kuwa na ushirikiano na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS