-
Sheikh Naim Qassem: Maziko rasmi ya Shahidi Hassan Nasrullah yatafanyika Lebanon Februari 23
Feb 03, 2025 05:54Mazishi ya kiongozi wa muda mrefu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah yatafanyika Februari 23, miezi kadhaa tangu alipouawa shahidi katika shambulio la kigaidi la anga lililofanywa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
-
Iceland yasisitiza kuendelea shughuli za UNRWA huko Palestina
Feb 03, 2025 02:32Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa wa Iceland amesisitiza juu ya udharura wa kuendelea kwa shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu hadi utatuzi wa uhakika na wa amani wa mzozo wa Palestina na Israel utakapopatikana.
-
Ansarullah: Muhammad al Dhaif alisabilia maisha yake kwa ajili ya kuikomboa Palestina
Feb 01, 2025 02:32Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa mkono wa pole kufuatia tangazo la kuuliwa shahidi Muhammad al Dhaif na kusema kamanda huyo Mpalestina alijitolea maisha yake kwa ajili ya kukomboa ardhi ya Palestina.
-
UN: UNRWA inaendelea kufanya kazi licha ya vikwazo vya Israel
Jan 31, 2025 13:32Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) litaendelea na shughuli zake licha ya vikwazo vilivyowekwa na utawala wa Israel.
-
Kwa nini utawala wa Kizayuni unaendeleza ukaliaji ardhi kwa mabavu na vita kusini mwa Lebanon?
Jan 31, 2025 12:14Najib Miqati Waziri Mkuu wa serikali ya mshikizo ya Lebanon amesisitiza kuwa mashambulizi ya utawala wa Kizayuni yanakiuka wazi mamlaka ya kujitawala ya Lebabon na ni ukiukaji mkubwa wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyofikiwa baina ya pande mbili.
-
Kugonga mwamba mpango wa Serikali ya Marekani wa kuiwekea vikwazo ICC
Jan 31, 2025 02:49Baraza la Seneti la Marekani halijauidhinisha mswada wa vikwazo dhidi ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC, vikwazo ambavyo ni jibu la utoaji vitisho linalolenga kuiadhibu mahakama hiyo kwa uamuzi wake wa kutoa hati za kukamatwa waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa waziri wa vita wa utawala huo wa Kizayuni Yoav Gallant.
-
UNICEF: Watoto wameathiriwa zaidi na vita katika Ukanda wa Gaza
Jan 30, 2025 01:57Mfumo wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, watoto ndio walioteseka na kuathirika zaidi na vita vya Gaza kkuliiko matabaka mengine katika Ukkanda huo.
-
Uungaji mkono wa Marekani kwa hatua ya utawala wa Kizayuni dhidi ya UNRWA
Jan 29, 2025 12:17Rais Donald Trump wa Marekani ameendeleza uungaji mkono wa nchi hiyo kwa utawala wa Kizayuni wa Israel, kwa kufuta idhini ya serikali ya Biden kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA), na kutangaza kuwa anaunga mkono uamuzi wa utawala huo wa kufunga ofisi ya UNRWA huko Quds Mashariki inayokaliwa kwa mabavu.
-
Huduma mpya za Trump kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Jan 29, 2025 02:35Katika siku za mwanzo za muhula wake wa pili wa uongozi, Donald Trump, rais mpya wa Marekani, kwa mara nyingine tena amefuata njia ile ile aliyopitia katika muhula wa kwanza wa uongozi wake. Katika muhula wa kwanza, Trump alitoa uungaji mkono mkubwa na ambao haujashuhudiwa kwa utawala wa Kizayuni na kuchukua hatua mpya sambamba na kuiunga mkono Israel na kuwapinga Wapalestina. Vitendo na misimamo hii imekutana na majibu chanya kutoka Tel Aviv.
-
Mashirika ya haki za binadamu ya Poland: Mkamateni waziri mhalifu wa Israel
Jan 28, 2025 07:59Mashirika ya kutetea haki za binadamu nchini Poland yametoa wito wa kukamatwa Waziri wa Elimu wa Israel ambaye yuko safarini nchini humo.