Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Sababu za vita vya Gaza kuendelea kwa muda mrefu

    Sababu za vita vya Gaza kuendelea kwa muda mrefu

    Jan 17, 2024 01:03

    Licha ya kupita siku 100 tangu vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Gaza vianze, lakini bado hakuna matarajio ya kumalizika kwa vita hivyo.

  • Kuongezeka hitilafu katika serikali ya Biden kuhusiana na vita vya Gaza

    Kuongezeka hitilafu katika serikali ya Biden kuhusiana na vita vya Gaza

    Jan 15, 2024 23:15

    Sambamba na uendelea vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu madhulumu wa Ukanda wa Gaza huko Palestina, kuzidi kuzorota hali ya mambo katika eneo la Magharibi mwa Asia na himaya ya wazi na ya siri ya Marekani kwa utawala huo ghasibu, ushahidi uliopo unaonyesha kuwa hali inazidi kuwa ngumu kwa Marekani siku baada ya siku kutokana na kuendelea kuunga mkono jinai za Israel, hasa mauaji ya halaiki ya Wapalestina.

  • Msemaji wa jeshi la Israel akiri, makombora ya Hizbullah yameuathiri utawala huo

    Msemaji wa jeshi la Israel akiri, makombora ya Hizbullah yameuathiri utawala huo

    Jan 15, 2024 10:44

    Msemaji wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa mashambulizi ya makombora ya harakati ya Hizbullah ya Lebanon huko kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel) yamekwua na ufanisi na kulenga shabaha.

  • Wapalestina 10 wauawa shahidi Gaza, idadi ya vifo yafikia 23,708, majeruhi wapindukia 60,000

    Wapalestina 10 wauawa shahidi Gaza, idadi ya vifo yafikia 23,708, majeruhi wapindukia 60,000

    Jan 13, 2024 03:37

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zimeshambulia kwa mabomu eneo la karibu na makazi ya wakimbizi wa Kipalestina mashariki mwa kivuko cha Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza na kuwaua shahidi Wapalestina wasiopungua 10 wakiwemo watoto kadhaa.

  • DCI: Mwaka 2023 ndio mwaka umbaya zaidi kwa watoto wa Kipalestina

    DCI: Mwaka 2023 ndio mwaka umbaya zaidi kwa watoto wa Kipalestina

    Jan 11, 2024 23:14

    Kundi la kimataifa linalofanya kazi katika uwanja wa kulinda watoto duniani limeutaja mwaka 2023 kuwa mwaka wa mauaji ya kimbari ya watoto wa Kipalestina huko Gaza.

  • Kuanza kusikilizwa mashtaka ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Kuanza kusikilizwa mashtaka ya Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya utawala wa Kizayuni

    Jan 11, 2024 23:11

    Mahakama ya Kimataifa ya Haki yenye makao makuu yake mjini The Hague Uholanzi Alhamisi na Ijumaa inasikiliza na kukusanya mitazamo ya kisheria ya Afrika Kusini na utawala wa Kizayuni kuhusu kesi ya mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza. Moja ya shughuli za mahakama hiyo ni kushughulikia mashtaka yanayohusiana na Mkataba wa Mauaji ya Kimbari wa 1948. Mkataba huo unatambuliwa rasmi na nchi 153.

  • Ugaidi, mbinu ya Israeli ya kukwepa fedheha ya kushindwa kijeshi

    Ugaidi, mbinu ya Israeli ya kukwepa fedheha ya kushindwa kijeshi

    Jan 10, 2024 07:41

    Kushindwa Israel kufikia malengo ya kijeshi katika medani ya vita huko Gaza kumeifanya kugeukia mbinu ya kuwaua kigaidi makamanda wa makundi ya muqawama.

  • Kuondoka askari wa utawala wa Kizayuni kaskazini mwa Gaza; matokeo ya kusimama kidete muqawama

    Kuondoka askari wa utawala wa Kizayuni kaskazini mwa Gaza; matokeo ya kusimama kidete muqawama

    Jan 09, 2024 05:29

    Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limethibitisha habari za kuondoka askari wake kutoka kaskazini mwa Gaza, ambapo kuondoka huko ni kukamilishwa kwa mpango wa makundi ya muqawama wa Palestina wa kulishinda jeshi vamizi.

  • Wananchi wa Uingereza wataka kufukuzwa balozi wa Israel mjini London

    Wananchi wa Uingereza wataka kufukuzwa balozi wa Israel mjini London

    Jan 09, 2024 04:18

    Wananchi wa Uingereza wametia saini waraka, wakitaka kufukuzwa balozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel mjini London kwa sababu ya kuunga mkono mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.

  • Kutofautiana Baraza la Mawaziri la Israel kuhusu kutawaliwa Gaza baada ya vita

    Kutofautiana Baraza la Mawaziri la Israel kuhusu kutawaliwa Gaza baada ya vita

    Jan 09, 2024 03:09

    Baraza la Mawaziri la utawala wa Kizayuni linakabiliwa na mizozo mingi, mojawapo ikiwa ni jinsi ya kuendeshwa masuala ya Gaza baada ya kumalizika vita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS