Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Utawala wa Kizayuni

  • Wasiwasi wa viongozi wa Ulaya kuhusu kuenea barani humo uungaji mkono kwa taifa la Palestina

    Wasiwasi wa viongozi wa Ulaya kuhusu kuenea barani humo uungaji mkono kwa taifa la Palestina

    Nov 01, 2023 02:58

    Kutokana na kuendelea hujuma ya kinyama inayofanywa na utawala haramu wa Isreal katika Ukanda wa Ghaza na mauaji ya umati yanayofanywa kila siku na utawala huo dhidi ya Wapalestina hususan watoto na wanawake, mwenendo wa uungaji mkono wa kimataifa kwa kadhia ya Palestina na kulaaniwa vitendo vya jinai za Israel katika ukanda huo umeongezeka, suala ambalo limewatia wasiwasi mkubwa watawala wa Ulaya.

  • Uungaji Mkono wa Marekani kwa Israel; Sababu na Kwa Nini

    Uungaji Mkono wa Marekani kwa Israel; Sababu na Kwa Nini

    Oct 31, 2023 07:10

    Hamjambo wapendwa wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi chetu cha makala ya wiki, ambapo juma hili tutazungumzia uungaji mkono wa Marekani kwa Israel, sababu na kwa nini. Karibuni.

  • Kushtadi mvutano baina ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kushtadi mvutano baina ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel

    Oct 30, 2023 23:05

    Mvutano baina ya Russia na utawala ghasibu wa Israel umeshadidi baada ya ziara ya wawakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) mjini Moscow.

  • Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi

    Msemaji wa HAMAS: Hatamu za udhibiti wa mapigano na adui mzayuni ziko mikononi mwa wanajihadi

    Oct 30, 2023 09:20

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesisitiza kuwa, muqawama unao uwezo wa kudhibiti hatamu za mapigano na adui Mzayuni na kwamba mwenendo wa mapambano uko kwenye udhibiti wa wanajihadi.

  • Hatua mpya za Marekani katika fremu ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hatua mpya za Marekani katika fremu ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel

    Oct 30, 2023 08:05

    Tangu kuanza duru mpya ya vita kati ya utawala wa Kizayuni na makundi ya muqawama ya Palestina na operesheni ya Kimbunga ya Al-Aqsa na radiamali kali ya Wazayuni dhidi ya hatua hiyo, Marekani ikiwa mshirika wa kistratijia wa Israel imetoa himaya kubwa ya kisiasa, kidiplomasia na kijeshi kwa utawala huo ghasibu. Filihali Washington imechukua hatua mpya katika mwelekeo huu.

  • Kim atabiri: Mashambulio ya Israel yanaandaa mazingira ya kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia

    Kim atabiri: Mashambulio ya Israel yanaandaa mazingira ya kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia

    Oct 28, 2023 23:31

    Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amesema, mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina yanaandaa mazingira ya kuzuka Vita vya Tatu vya Dunia.

  • Iran: Mchakato wa kufuatilia jinai za Wazayuni kwenye duru za kimetaifa, umeanza

    Iran: Mchakato wa kufuatilia jinai za Wazayuni kwenye duru za kimetaifa, umeanza

    Oct 28, 2023 11:03

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya sheria za kimataifa amesema kuwa, mchakato wa kufuatilia jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Ghaza umeanza katika taasisi za kimataifa.

  • Kupasishwa azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Ghaza

    Kupasishwa azimio la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Ghaza

    Oct 28, 2023 08:39

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepasisha rasimu ya azimio lililopendekezwa na nchi za Kiarabu na kutaka kutekelezwa usitishaji vita wa kibinadamu haraka iwezekanavyo huko Ghaza.

  • Wapalestina 100 wameuawa shahidi katika hujuma mpya ya Israel huko Ghaza

    Wapalestina 100 wameuawa shahidi katika hujuma mpya ya Israel huko Ghaza

    Oct 28, 2023 04:03

    Sambamba na kuanza operesheni ndogo ya nchi kavu ya jeshi katili la utawala haramu Israel kwa lengo la kujipenyeza Ghaza usiku wa kuamkia leo, zaidi ya raia 100 Wapalestina wameuawa shahidi huku utawala huo ukilaaniwa kote duniani kwa kutekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina.

  • Atwan: Wanamuqawama wa Ghaza wameigeuza historia juu chini kwa utawala wa ghasibu

    Atwan: Wanamuqawama wa Ghaza wameigeuza historia juu chini kwa utawala wa ghasibu

    Oct 28, 2023 00:24

    Mhariri wa gazeti la Rai al Yaum amesema kuwa kinyume na dhana ya viongozi wa utawala ghasibu unaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu, wanamapambano huko Ukanda wa Ghaza wameugeuza mwenendo wa historia kwa utawala huo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS