Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Erdogan: Netanyahu, mwenye kiu ya damu sharti akomeshwe

    Erdogan: Netanyahu, mwenye kiu ya damu sharti akomeshwe

    Jun 03, 2024 11:27

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki kwa mara nyingine amemshambulia vikali kwa maneno Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu na kumtaja kama mtu mwenye kiu ya kumwaga na kufyonza damu.

  • Mawaziri wa Iran na Uturuki wajadili jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel Gaza

    Mawaziri wa Iran na Uturuki wajadili jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel Gaza

    Jun 02, 2024 09:25

    Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran na Uturuki wamefanya mazungumzo na kujadili hali ya mambo huko Palestina hususan jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya watu wa Gaza.

  • Serikali ya Slovenia yaidhinisha hoja ya kuitambua nchi huru ya Palestina

    Serikali ya Slovenia yaidhinisha hoja ya kuitambua nchi huru ya Palestina

    May 31, 2024 09:58

    Vyombo vya habari vya Slovenia vimetangaza kuwa serikali ya nchi hiyo imeidhinisha hoja ya kuitambua Palestina kuwa ni nchi rasmi na huru.

  • Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asisitiza kusitishwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran asisitiza kusitishwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Israel

    May 21, 2024 12:32

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametilia mkazo kusitishwa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni na kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Iran yapongeza uamuzi wa Uturuki kukata uhusiano wa kibiashara na utawala wa Israel

    Iran yapongeza uamuzi wa Uturuki kukata uhusiano wa kibiashara na utawala wa Israel

    May 05, 2024 12:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepongeza uamuzi wa serikali ya Uturuki wa kukata uhusiano wa kiuchumi na kibiashara na utawala wa Kizayuni wa Israel unaotekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza.

  • Hakan Fidan: Uturuki itaomba kujiunga katika kesi ya mauaji ya kimbari inayoikabili Israel huko ICJ

    Hakan Fidan: Uturuki itaomba kujiunga katika kesi ya mauaji ya kimbari inayoikabili Israel huko ICJ

    May 02, 2024 02:36

    Hakan Fidan Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa nchi hiyo itaomba kuwa sehemu ya kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya Israel. Itakumbukwa kuwa serikali ya Afrika Kusini imefungua kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mauaji yake ya kimbari huko Gaza.

  • Rais wa Uturuki: Israel imempiku Hitler kwa kuua watoto 14,000 wasio na hatia Ghaza

    Rais wa Uturuki: Israel imempiku Hitler kwa kuua watoto 14,000 wasio na hatia Ghaza

    Apr 17, 2024 11:11

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema, Israel tayari imempiku kiongozi wa Wanazi Adolf Hitler kwa kuua zaidi ya watoto 14,000 wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza.

  • Katika barua kwa Papa, Erdogan ataka Ubinadamu ukomeshe ukiukaji zaidi wa sheria unaofanywa Ghaza

    Katika barua kwa Papa, Erdogan ataka Ubinadamu ukomeshe ukiukaji zaidi wa sheria unaofanywa Ghaza

    Apr 14, 2024 02:32

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki ametoa wito kwa watu duniani kote kuzungumza dhidi ya mashambulizi ya kinyama ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya hospitali, skuli, misikiti na makanisa katika Ukanda wa Ghaza, Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Imarati, Uturuki wajadiliana matukio ya Ghaza

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Imarati, Uturuki wajadiliana matukio ya Ghaza

    Apr 11, 2024 09:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake ya simu na mawaziri wenzake wa Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Uturuki kwamba kuna udharura wa kukomeshwa haraka jinai za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.

  • Rais Raisi: Kukata uhusiano wa kiuchumi na kisiasa ndiyo silaha bora ya kuipigisha magoti Israel

    Rais Raisi: Kukata uhusiano wa kiuchumi na kisiasa ndiyo silaha bora ya kuipigisha magoti Israel

    Apr 11, 2024 02:39

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kukatwa uhusiano wa kiuchumi na kisiasa wa nchi za Waislamu na utawala wa Kizayuni ndiyo silaha bora ya kukomesha jinai za Wazayuni huko Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS