Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Erdogan afichua jinsi NATO inavyowasaidia magaidi wa ISIS

    Erdogan afichua jinsi NATO inavyowasaidia magaidi wa ISIS

    Sep 01, 2017 09:35

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amefichua kwamba nchi moja mwanachama wa Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi NATO ndiye mhusika wakuu wa kuwatumia silaha magaidi wa Daesh yaani ÏSIS.

  • Kuendelea ukosoaji wa wapinzani kuhusiana na siasa za kigeni za serikali ya Uturuki nchini Syria

    Kuendelea ukosoaji wa wapinzani kuhusiana na siasa za kigeni za serikali ya Uturuki nchini Syria

    Aug 26, 2017 02:20

    Ukosoaji wa wapinzani dhidi ya serikali ya Uturuki kuhusiana na siasa za uingiliaji wa Ankara katika masuala ya ndani ya nchi jirani ungali unaendelea.

  • Israel yapatwa na wasiwasi kwa kupanuka mahusiano ya Iran na Uturuki

    Israel yapatwa na wasiwasi kwa kupanuka mahusiano ya Iran na Uturuki

    Aug 21, 2017 04:00

    Mchambuzi na mwandishi wa Israel amesema kuwa utawaka Kiizayuni umepatwa na wasiwasi mkubwa kufuatia safari ya Mkuu wa Vikosi vya Jeshi la Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uturuki katika fremu ya kupanua mahusiano ya pande zotei wa nchi hizo mbili.

  • Malengo ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani katika nchi za Jordan, Uturuki na Ukraine

    Malengo ya safari ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani katika nchi za Jordan, Uturuki na Ukraine

    Aug 21, 2017 03:44

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani, James Mattis jana Jumapili aliwasili Amman katika awamu ya kwanza ya safari ya kuzitembelea nchi tatu za Jordan, Uturuki an Ukraine.

  • Sababu ya Iran kupinga vikali Kura ya Maoni ya kujitenga Kurdistan ya Iraq

    Sababu ya Iran kupinga vikali Kura ya Maoni ya kujitenga Kurdistan ya Iraq

    Aug 19, 2017 03:37

    Mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Iran Meja Jenerali Mohammad Baqeri amesema Iran na Uturuki zinaitakidi kuwa kujitenga eneo la Kurdistan na ardhi ya Iraq kunaweza kuwa mwanzo wa machafuko ya muda mrefu na kuwaka moto wa vita nchini Iraq ambao matokeo yake yanaweza kuziathiri Iran na Uturuki.

  • Iran na Uturuki zajadili kuimarisha uhusiano wa kiulinzi

    Iran na Uturuki zajadili kuimarisha uhusiano wa kiulinzi

    Aug 17, 2017 02:15

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Uturuki mjini Ankara, kuhusu umuhimu wa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kiulinzi wa pande mbil

  • Iran, Uturuki na Qatar zajadili namna ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara

    Iran, Uturuki na Qatar zajadili namna ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara

    Aug 06, 2017 02:52

    Mawaziri watatu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Qatar na Uturuki wamefanya mkutano hapa mjini Tehran na kuzungumzia mikakati ya kuimarisha uhusiano wa kibiashara wa pande tatu.

  • Ijumaa tarehe 4 Agosti, 2017

    Ijumaa tarehe 4 Agosti, 2017

    Aug 03, 2017 21:57

    Leo ni Ijumaa tarehe 11 Mfunguo Pili Dhul-Qaadah 1438 Hijria, inayosadifiana na tarehe 4 Agosti mwaka 2017.

  • Rais Erdoğan: Takwa la Cyprus la kuondoa askari wetu wote wa Uturuki halikubaliki

    Rais Erdoğan: Takwa la Cyprus la kuondoa askari wetu wote wa Uturuki halikubaliki

    Jul 01, 2017 23:43

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa, takwa la Cyprus la kuondoa askari wote wa Uturuki nchini humo halikubaliki.

  • Kundi la pili la wanajeshi wa Uturuki limewasili Qatar

    Kundi la pili la wanajeshi wa Uturuki limewasili Qatar

    Jun 30, 2017 03:41

    Televisheni rasmi ya Qatar leo asubuhi imetangaza kuwa, kundi jipya la wanajeshi wa Uturuki limewasili katika kambi ya jeshi la anga ya al Adida iliyopo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Doha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS