-
Tehran: Maajenti wa mauaji wanaituhumu Iran kukiuka haki
Feb 18, 2025 07:31Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inatuhumiwa kukiuka haki za binadamu na pande ambazo zinasababisha vifo na uharibifu katika pembe mbali mbali za dunia.
-
Wakuu wa Amerika Kusini: Uamuzi wa Trump wa kuwafukuza wahamiaji ni ukiukaji wa haki za binadamu
Jan 19, 2025 11:32Katika kipindi cha kukaribia kuanza awamu nyingine ya utawala wa Donald Trump kama Rais wa Marekani, wawakilishi na maafisa wa nchi mbalimbali za Amerika Kusini, katika tamko lao, wamebainisha wasiwasi wao kuhusu utekelezaji wa sera ya kufukuzwa wahamiaji kutoka nchi tofauti.
-
Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza
Dec 16, 2024 06:52Kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa Marekani na Uingereza, ripoti ambayo imeandaliwa kwa kutelekeza mswada uliopitishwa na Bunge la Iran mwaka 1391 Hijria Shamsia,
-
Mkurugenzi wa Kituo cha Haki za Kibinadamu: Jumuiya ya Kimataifa isikae kimya mbele ya mauaji ya kimbari ya Israel
Dec 11, 2024 04:26Mkurugenzi wa kituo cha haki za binadamu amezungumzia mashambulizi yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika hospitalii na vituo vya matibabu katika Ukanda wa Gaza hususan hospitali ya "Kamal al-Adwan", kaskazini mwa ukanda huo, ameikosoa vikali jamii ya kimataifa kwa kunyamazia kimya uhalifu huo.
-
Vikwazo, dhulma na jinai: Mhimili wa haki za binadamu wa Marekani dhidi ya taifa la Iran
Jul 03, 2024 08:02Ali Bagheri Kani, Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema ukiukaji wa haki za watu wa Iran vikiwemo vikwazo vya kidhalimu dhidi yao, ndio msingi wa haki za binadamu wa Marekani.
-
Ukosoaji wa Amnesty International kwa njama za Marekani za kuficha jinai za Israel Gaza
Apr 27, 2024 02:35Agnes Callamard, Katibu Mkuu wa Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International, ameonya kuhusu kuendelea kwa ukiukaji wa haki za binadamu huko Gaza na kutangaza kuwa: Marekani inazuia kutuhumiwa Israel kwa kukiuka haki za binadamu katika Ukanda wa Gaza.
-
UN: Huenda Israel imetenda jinai ya kivita kwa kutumia njaa kama silaha ya vita
Mar 29, 2024 02:39Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema hatua ya utawala wa Israel kutumia njaa kama silaha dhidi ya watu Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yumkini ikawa jinai ya kivita.
-
UN: Makumi ya watu wamebakwa, kunyanyaswa kingono nchini Sudan
Feb 24, 2024 02:14Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imesema katika ripoti yake mpya iliyotolewa jana Ijumaa kwamba makumi ya watu, wakiwemo watoto, wamekuwa waathiriwa wa ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa kingono katika mzozo unaoendelea nchini Sudan, vitendo ambavyo vinaweza kutambuliwa kuwa ni uhalifu wa kivita.
-
Sheria inayoruhusu kuwahasi wabakaji Madagascar yalalamikiwa na makundi ya kutetea haki
Feb 13, 2024 07:32Bunge la Madagascar limepitisha sheria inayoruhusu kuwahasi kwa kemikali na katika baadhi ya kesi kwa njia ya upasuaji watu wanaopatikana na hatia ya kubaka watoto wadogo.
-
Euro-Med Monitor: Jeshi la Israel linaiba, kupora mali za Wapalestina huko Gaza
Jan 01, 2024 03:05Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu limefichua kuwa pamoja na kuua maelfu ya raia wa Palestina katika Ukanda wa Gaza, vikosi vya jeshi la Israel pia vimekuwa vikiendesha zoezi la uporaji wa kimfumo katika nyumba za Wapalestina kwenye eneo hilo linalozingirwa, na kuiba mali zao.