-
HRW yakosoa wimbi jipya la kamata kamata dhidi ya wapinzani Saudia
Sep 15, 2017 23:08Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali wimbi jipya la kamata kamata inayofanywa na maafisa usalama wa Saudi Arabia dhidi ya wapinzani na wakosoaji wake wakiwemo wanazuoni.
-
Watu wa Asili, Tabaka Lililokandamizwa Zaidi katika Dunia ya Leo
Aug 09, 2017 14:08Tarehe 23 Disemba mwaka 1994 Umoja wa Mataifa uliitangaza tarehe 9 Agosti kila mwaka kuwa ni Siku ya Kimataifa ya Watu wa Asili (Indigenous). Siku hiyo ilitangazwa rasmi ili kukumbuka na kutetea haki za zaidi ya watu milioni 370 wa asili katika nchi 90 duniani.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 28, 2017 06:45Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya sita ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 23, 2017 02:24Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tano ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
HRW yasikitishwa na hatua ya UNESCO ya kufanya kikao Saudia
May 10, 2017 09:33Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, limesikitishwa na hatua ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) ya kufanya kongamano la kimataifa la asasi zisizo za kiserikali huko nchini Saudi Arabia.
-
UN, US na EU zatakiwa kukomesha jinai za Bahrain dhidi ya Sheikh Qassim
May 05, 2017 09:12Mashirika ya kutetea haki za binadamu ya Bahrain na kimataifa yameziandikia barua Marekani, Umoja wa Mataifa na Umoja wa Ulaya yakizitaka ziishinikize serikali ya Manama kukomesha jinai zake dhidi ya Sheikh Issa Qassim, mwanazuoni mashuhuri wa ngazi ya juu wa nchi hiyo ambaye alivuliwa uraia wa Bahrain Juni 20 mwaka jana 2016.
-
HRW yaitaka US iishinikize Sudan ikomeshe ukiukaji wa haki za binadamu
May 04, 2017 03:16Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka serikali ya Marekani iishinikize Sudan ikomeshe uvunjaji wa haki za binadamu.
-
Utawala haramu wa Israel hauna nafasi aktika mustakabali wa Mashariki ya Kati
Apr 28, 2017 10:10Katibu Mkuu wa Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha ya Palestina amesema: "Maadui hatimaye watasalimu amri kuhusu utatuzi wa kisiasa wa kadhia ya Syria na kwa yakini utawala haramu na wa kigaidi wa Israel hauna nafasi katika mustakabali wa Mashariki ya Kati."
-
UN yashangazwa na wito wa Trump wa kuwatesa na kuwanyanyasa washukiwa
Apr 07, 2017 02:54Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ameeleza kusikitishwa kwake na wito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kutaka kurejeshwa sheria ya kuwatesa watuhumiwa wa jinai mbalimbali.
-
UN yalalamikia ongezeko kubwa la uvunjaji wa haki za binadamu DRC
Mar 23, 2017 03:31Mjumbe wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa amelalamikia vikali ongezeko la uvunjaji wa haki za binadamu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.