-
Ukiukaji wa haki za binadamu waongezeka huko nchini Sudan Kusini
Mar 16, 2017 00:31Umoja wa Mataifa umetahadharisha kwa mara nyingine tena kuhusu kuongezeka ukiukaji wa haki za binadamu katika nchi iliyokumbwa na vita ya Sudan Kusini.
-
HRW: Watu 133 wamepokonywa uraia nchini Bahrain mwaka jana 2016
Mar 12, 2017 03:48Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema makumi ya raia wa Bahrain walivuliwa uraia na serikali mwaka uliopita 2016.
-
Amnesty yaitaka Sudan iache kukiuka haki za wanafunzi wa Vyuo Vikuu
Jan 18, 2017 23:27Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeitaka serikali ya Sudan ikomeshe dhulma na ukandamizaji dhidi ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini humo na hususan katika jimbo la Darfur.
-
Al-Wefaq: Jamii ya kimataifa imefumbia macho mzingiro wa Diraz, Bahrain
Jan 04, 2017 00:27Chama kikuu cha upinzani nchini Bahrain kimekosoa kimya cha jamii ya kimataifa juu ya mzingiro dhidi ya eneo la Diraz na ukandamizaji wanaofanyiwa wakazi wa eneo hilo kwa zaidi ya nusu mwaka sasa.
-
Burundi yakadhibisha tuhuma za kukiuka haki za binadamu
Dec 18, 2016 01:08Serikali ya Burundi imekana kwamba inakiuka haki za binadamu licha ya kuendelea mwenendo wa kutoweka raia nchini humo katika mazingira ya kutatanisha.
-
Faili la jinai dhidi ya binadamu nchini Gabon latumwa ICC
Dec 16, 2016 04:48Mawakili wa Jean Ping, kiongozi wa upinzani na mgombea wa kiti cha urais nchini Gabon aliyeshindwa na Rais Ali Bongo katika uchaguzi wa mwezi Agosti mwaka huu wametuma faili la jinai dhidi ya binadamu nchini humo, katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Amnesty: Ukiukaji wa haki za bindamu unaofanywa na nchi za Kiarabu ukomeshwe
Dec 06, 2016 12:21Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito wa kukomeshwa uvunjaji wa haki za binadamu unaofanywa na nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.
-
Utawala wa Aal Khalifa waendelea kukiuka haki za binadamu
Dec 04, 2016 04:28Utawala wa Aal Khalifa unaendelea kukiuka haki za binadamu kwa pande zote khususan katika upande wa kimadhehebu bila kujali lolote.
-
HRW: Rais wa Gambia anawatesa wapinzani na wakosoaji wake
Nov 03, 2016 00:24Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch linamtuhumu Rais wa Gambia Yahya Jammeh kuwa anawakandamiza na kuwatesa wapinzani na wakosoaji wake na kwamba yumkini uchaguzi mkuu ujao wa Disemba Mosi usiwe huru na wa haki.
-
Iran: Saudia inazawadiwa uwanachama wa Baraza la Haki za Binadamu kwa jinai inazofanya Yemen
Oct 31, 2016 04:09Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema utawala wa Saudi Arabia unapokea tuzo ya uwanachama wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa kutokana na jinai za kutisha unazoendelea kufanya nchini Yemen.