Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uwahhabi

  • Al Maliki: Uwahabi uwekwe kwenye orodha ya makundi ya kigaidi

    Al Maliki: Uwahabi uwekwe kwenye orodha ya makundi ya kigaidi

    Nov 27, 2016 05:41

    Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq ametoa wito wa kuwekwa kundi la Kiwahabi katika orodha ya makundi ya kigaidi duniani.

  • Mashia Nigeria: Hujuma dhidi yetu ni mwangwi wa Uwahabi nchini

    Mashia Nigeria: Hujuma dhidi yetu ni mwangwi wa Uwahabi nchini

    Nov 04, 2016 15:50

    Waislamu wa madhehebu ya Shia huko Nigeria wamekosoa vikali ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na vyombo vya usalama nchini humo na kusisitiza kuwa, dhulma hizo zimetokana na fikra za Kiwahabi.

  • Waziri apigwa kalamu nyekundu Tunisia kwa kukosoa Uwahabi

    Waziri apigwa kalamu nyekundu Tunisia kwa kukosoa Uwahabi

    Nov 04, 2016 15:50

    Serikali ya Tunisia imemfuta kazi Waziri wa Masuala ya Dini wa nchi hiyo, baada ya kusema kuwa, idiolojia ya Uwahabi ambayo imetawala Saudi Arabia ndiyo chanzo cha ugaidi duniani.

  • Mufti wa Saudia aharamisha Maulid ya Mtume SAW, asema sherehe za ukoo wa Aal Saud ni wajibu

    Mufti wa Saudia aharamisha Maulid ya Mtume SAW, asema sherehe za ukoo wa Aal Saud ni wajibu

    Sep 28, 2016 02:43

    Mufti katika kasri ya mfalme wa Saudia amesema kusherehekea Maulid ya Mtume Muhammad SAW ni shirki lakini akasema ni wajibu kusherehekea maadhimisho ya kuanza kutawala ukoo wa Aal Saud.

  • Muwahhabi aliyebomoa turathi za Kiislamu Mali afungwa miaka tisa jela

    Muwahhabi aliyebomoa turathi za Kiislamu Mali afungwa miaka tisa jela

    Sep 28, 2016 02:39

    Muwahhabi mwenye misimamo mikali, Ahmed Al-Faqi Al-Mahdi amepatikana na hatia ya uhalifu wa kivita na kuhukumiwa miaka 9 jela katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.

  • Nasrallah: Uwahhabi ni hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni

    Nasrallah: Uwahhabi ni hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni

    Sep 27, 2016 14:08

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah, amesema anaitazama itikadi ya misimamo mikali ya Uwahhabi kuwa hatari zaidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mamufti wa Kisaudi wapatwa na kihoro kwa kufutwa Uwahabi katika madhehebu ya Ahlu-Sunnah

    Mamufti wa Kisaudi wapatwa na kihoro kwa kufutwa Uwahabi katika madhehebu ya Ahlu-Sunnah

    Sep 06, 2016 04:00

    Kushiriki kwa wingi maulamaa wakubwa wa Kiislamu wa Misri katika kongamano la maulamaa wakubwa wa Kisuni lililofanyika Grozny mji mkuu wa Jamhuri ya Chechneya nchini Russia na hatua ya washiriki kujibari na tapo bandia la Uwahabi na Usalafi kumewatia kiwewe mno mamufti na mashekhe wa Kiwahabi.

  • Ayatullah Shirazi: Uwahabi ni tishio kubwa zaidi kwa Uislamu na Ubinadamu

    Ayatullah Shirazi: Uwahabi ni tishio kubwa zaidi kwa Uislamu na Ubinadamu

    Sep 05, 2016 07:34

    Mwanazuoni wa ngazi za juu nchini Iran amesema hii leo Uwahabi una wafuasi wanaotenda jinai na wasio na huruma hata kidogo na hivyo ni hatari kubwa zaidi kwa Uislamu na ubinadamu.

  • Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Maswali Kuhusu Tukio la Ashura (2)

    Sep 16, 2018 10:27

    Je, tukio la Ashuraa na mauaji ya mjukuu wa Mtume (saw), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (as) katika siku ya tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria lina umuhimu katika utamaduni wa Waislamu wa madhehebu ya Shia peke yao? Au la, madhehebu nyingine za Kiislamu pia kama madhehebu za Ahlusunna, zinajali sana tukio hilo na kuumizwa mno na masaibu ya Hussein bin Ali na dhulma zilizofanywa na madhalimu dhidi ya familia hiyo ya Mtume?

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS