-
Marekani: Ni kweli tunao askari maalumu nchini Libya kwa ajili ya ujasusi
Mar 27, 2017 12:35Marekani imekiri kuwa ina imetuma askari maalumu nchini Libya kwa ajili ya ujasusi na kukusanya habari za kiintelejensia.
-
Jeshi la Tunisia laungana na jeshi la Syria kupambana na magaidi
Feb 13, 2017 15:10Duru za kuaminika za Tunisia zimesema kuwa, jeshi la nchi hiyo limetumwa nchini Syria kupambana bega kwa bega na serikali ya Syria dhidi ya magenge ya kigaidi katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Kurejea utulivu Côte d’Ivoire na ahadi za Rais Alassane Ouattara
Jan 09, 2017 04:32Hatimaye utulivu umerejea kwa kiasi fulani nchini Côte d’Ivoire kufuatia mgogoro wa kisiasa na kiusalama wa siku kadhaa baada ya rais wa nchi hiyo kukubali matakwa ya askari waasi na kuachiliwa huru Waziri wa Ulinzi aliyekuwa anashikiliwa na kundi hilo.
-
Saudi Arabia kufungua kituo cha kijeshi Djibouti
Dec 04, 2016 14:59Katika kile kinachoonekana ni mkakati wa kupanua satua na uwepo wake wa kijeshi katika nchi za Afrika, utawala wa Saudi Arabia unapania kufungua kituo cha kijeshi nchini Djibouti.
-
AU yasema mzozo wa Libya hauhitaji suluhisho la kijeshi
Nov 09, 2016 07:40Viongozi wa Umoja wa Afrika AU wanakutana nchini Ethiopia kujadili mgogoro wa kisiasa na kiusalama unaoikabili Libya kwa sasa.
-
Russia: Uingiliaji kijeshi Libya unahitaji idhini ya Umoja wa Mataifa
Mar 14, 2016 16:20Sergei Lavrov, Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema leo Jumatatu kuwa uingiliaji kijeshi huko Libya unawezekana iwapo tu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litaidhinisha suala hilo.