-
Video: Mazungumzo ya Rais Rouhani na Sultan Qaboos wa Oman
Feb 15, 2017 18:10Akiwa katika ziara rasmi ya siku moja, leo Jumatano, tarehe 15 Februar 2017, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Dk Hassan Rouhani ameonana na kuzungumza na Sultan Qaboos wa Oman na pande mbili zimetilia mkazo umuhimu wa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kidugu baina yao.
-
Video: Rais Rouhani alipowasili Oman Jumatano Feb 15 2017
Feb 15, 2017 17:13Mapokezi ya Rais wa Iran katika uwanja wa ndege wa Muscat Oman
-
VIDEO: Wananchi wa Syria wakisherehekea kukombolewa Halab (Allepo)
Dec 23, 2016 07:15Mji wa Halab yaani Aleppo huko kaskazini mwa Syria hivi sasa umesafishwa kikamilifu baada ya magaidi kufurushwa katika mji huo baada ya kuteka baadhi ya maeneo yake na kufanya jinai kwa muda wa miaka minne.
-
VIDEO: Apewa kadi kwa vituko uwanjani (Kama huwezi kujizuia kucheka usiangalie)
Nov 08, 2016 09:16Ungelihisi vipi kama ungelimuona mwenzako anafanya mchezo mchezoni? Kama ungelimuona anafanya vituko uwanjani? Mtangazaji wa kabumbu hii yeye ameshindwa kujizuia kucheka, lakini mwamuzi alikuwa na mtazamo tofauti! Usiangalie kama kicheko chako kiko karibu.
-
VIDEO: Panya mjanja! Lakini...
Nov 08, 2016 09:06Ukijifanya mjanja, jua kuwa wako wajanja kuliko wewe. Panya huyu alidhani kwa kujificha kwenye tairi la gari ndiyo itakuwa salama yake lakini...
-
VIDEO: Iran yaonesha ndege za drone ilizozitengeneza baada ya kuziteka kutoka kwa Marekani na Israel
Oct 01, 2016 13:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanikiwa kutengeneza mfano wa ndege zisizo na rubani (drone) ilizoziteka kutoka kwa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel. Ndege hizo zina uwezo zaidi ya ule wa ndege za asili za Marekani na Israel. Video hii inaonesha sehemu ya ndege hizo na namna zinavyofanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
-
VIDEO: Jeshi la Iran laonyesha magari yake ya kisasa ya kushambulia vitani bila dereva
Sep 27, 2016 11:45Robot wa Iran wenye uwezo wa kushambulia vitani bila ya kuwa na dereva, ni sehemu ya maonyesho ya Siku ya Jeshi nchni Iran.
-
VIDEO: Kama huna mbavu usiangalie kichekesho hiki cha mwaka
Sep 27, 2016 10:51Kama inasemwa, raha ya kabumbu ni namna mtu unavyoweza kutabiri nini kitatokea sekunde chache ijayo. Sehemu unayotarajia goli litafungwa halifungwi na pale usipotarajia kabisa kuwa gali halifungwi ndipo linapofungwa. Huu ni mfano wa wazi wa kituko hicho cha mwaka katika kabumbu. Utumbo huu wa mwaka umefanywa na golikipa wa timu ya vijana ya Korea Kaskazini katika mashindano ya Asia.
-
VIDEO: Mahojiano ya Radio Tehran na Spika wa Bunge la Kenya
Sep 25, 2016 14:31Spika wa Bunge la Kenya, Mheshimiwa Justin Muturi yupo hapa mjini Tehran kwa ziara rasmi ya kikazi nchini Iran.
-
Video: Kama hata wanyama wanasaidiana, mwanadamu anashindwaje kumsaidia mwenzake?
Sep 21, 2016 09:37Kama unadhani huruma iko kwa viumbe wenye akili tu, umekosea. Viumbe wengine nao wana nadhari, na baadhi ya wakati msaada wao ni bora zaidi kulikoni hata wa wanadamu wanaoambatanisha misaada yao na masimbulizi. Cha kuvutia kwenye kipande hiki cha video ni namna nguchiro wawili, mama na mwana walivyosaidiana kumuokoa mwenzao.