Video: Mazungumzo ya Rais Rouhani na Sultan Qaboos wa Oman
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i25194-video_mazungumzo_ya_rais_rouhani_na_sultan_qaboos_wa_oman
Akiwa katika ziara rasmi ya siku moja, leo Jumatano, tarehe 15 Februar 2017, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Dk Hassan Rouhani ameonana na kuzungumza na Sultan Qaboos wa Oman na pande mbili zimetilia mkazo umuhimu wa kuimarisha uhusiano na ushirikiano wa kidugu baina yao.
(last modified 2023-11-27T12:14:11+00:00 )
Feb 15, 2017 18:10 UTC