VIDEO: Apewa kadi kwa vituko uwanjani (Kama huwezi kujizuia kucheka usiangalie)
https://parstoday.ir/sw/news/world-i19045-video_apewa_kadi_kwa_vituko_uwanjani_(kama_huwezi_kujizuia_kucheka_usiangalie)
Ungelihisi vipi kama ungelimuona mwenzako anafanya mchezo mchezoni? Kama ungelimuona anafanya vituko uwanjani? Mtangazaji wa kabumbu hii yeye ameshindwa kujizuia kucheka, lakini mwamuzi alikuwa na mtazamo tofauti! Usiangalie kama kicheko chako kiko karibu.
(last modified 2025-11-26T03:04:14+00:00 )
Nov 08, 2016 09:16 UTC