Video: Kama hata wanyama wanasaidiana, mwanadamu anashindwaje kumsaidia mwenzake?
https://parstoday.ir/sw/news/world-i15781-video_kama_hata_wanyama_wanasaidiana_mwanadamu_anashindwaje_kumsaidia_mwenzake
Kama unadhani huruma iko kwa viumbe wenye akili tu, umekosea. Viumbe wengine nao wana nadhari, na baadhi ya wakati msaada wao ni bora zaidi kulikoni hata wa wanadamu wanaoambatanisha misaada yao na masimbulizi. Cha kuvutia kwenye kipande hiki cha video ni namna nguchiro wawili, mama na mwana walivyosaidiana kumuokoa mwenzao.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Sep 21, 2016 06:07 UTC