VIDEO: Kama huna mbavu usiangalie kichekesho hiki cha mwaka
https://parstoday.ir/sw/news/world-i16177-video_kama_huna_mbavu_usiangalie_kichekesho_hiki_cha_mwaka
Kama inasemwa, raha ya kabumbu ni namna mtu unavyoweza kutabiri nini kitatokea sekunde chache ijayo. Sehemu unayotarajia goli litafungwa halifungwi na pale usipotarajia kabisa kuwa gali halifungwi ndipo linapofungwa. Huu ni mfano wa wazi wa kituko hicho cha mwaka katika kabumbu. Utumbo huu wa mwaka umefanywa na golikipa wa timu ya vijana ya Korea Kaskazini katika mashindano ya Asia.
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Sep 27, 2016 07:21 UTC