Dec 23, 2016 07:15 UTC

Mji wa Halab yaani Aleppo huko kaskazini mwa Syria hivi sasa umesafishwa kikamilifu baada ya magaidi kufurushwa katika mji huo baada ya kuteka baadhi ya maeneo yake na kufanya jinai kwa muda wa miaka minne.

Mara baada ya kutangazwa kukombolewa kikamilifu mji wa Halab, wananchi wa nchi hiyo wamemiminika barabarani na kufanya sherehe usiku kucha.

Tags