Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • UN yamuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Sudan Kusini

    UN yamuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Sudan Kusini

    May 27, 2018 09:17

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza kumuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Sudan Kusini, Kuol Manyang Juk kutokana na kile lilichodai kuwa ni kitendo cha afisa huyo wa Juba kukiuka makubaliano ya usitishaji vita.

  • IMF: Marekani iangalie upya sera zake dhidi ya Iran na Russia

    IMF: Marekani iangalie upya sera zake dhidi ya Iran na Russia

    May 26, 2018 03:13

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha Duniani IMF amemuasa Rais Donald Trump wa Marekani kuangalia upya sera zake za kushadidisha vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia.

  • Vikwazo vya Marekani dhidi ya viongozi wa Hizbullah ya Lebanon

    Vikwazo vya Marekani dhidi ya viongozi wa Hizbullah ya Lebanon

    May 17, 2018 22:08

    Serikali ya Marekani imetangaza vikwazo vingine vipya, mara hii ikiwa ni dhidi ya viongozi waandamizi wa Hizbullah ya Lebanon akiwemo Katibu Mkuu wake Sayyid Hassan Nasrullah na naibu wake Sheikh Naeem Qassim.

  • Kususiwa sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjini Quds

    Kususiwa sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjini Quds

    May 13, 2018 06:05

    Zaidi ya nusu ya viongozi wa kigeni walioalikwa kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa ubalozi wa Marekani mjini Quds, wamekataa kushiriki sherehe hizo.

  • Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    Kujizuia Ulaya kubeba gharama za kujitoa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    May 12, 2018 07:55

    Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ameitaja hatua ya Marekani ya kuyawekea mashinikizo mashirika ya nje ambayo yana uhusiano wa kibiashara na Iran kuwa haikubaliki na kueleza kuwa: Nchi za Ulaya hazipasi kubeba gharama za kujitoa Marekani ndani ya JCPOA.

  • Majibu makali ya Russia kwa vikwazo vipya vya Marekani

    Majibu makali ya Russia kwa vikwazo vipya vya Marekani

    May 12, 2018 02:38

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa tamko kali la kujibu vikwazo vipya vya Marekani dhidi yake na kusema kuwa, vikwazo hivyo vya serikali ya Donald Trump dhidi ya Moscow vinatokana na hamaki za Washington za kushindwa mashambulizi yake ya tarehe 14 Aprili nchini Syria.

  • Muhammad Javad Zarif: Serikali ya Marekanin imefilisika kimaadili

    Muhammad Javad Zarif: Serikali ya Marekanin imefilisika kimaadili

    Apr 13, 2018 23:47

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa njama za Marekani za kutaka kurejesha vikwazo dhidi ya Iran na kusema kuwa, serikali ya Washington imefilisika kimaadili.

  • Qassemi: Marekani haitofanikiwa kukwamisha ustawi wa kielimu wa Iran kwa kutumia mbinu ya vikwazo

    Qassemi: Marekani haitofanikiwa kukwamisha ustawi wa kielimu wa Iran kwa kutumia mbinu ya vikwazo

    Mar 24, 2018 00:02

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hatua ya karibuni ya Marekani ya kuwawekea vikwazo shakhsia 10 na shirika moja linaloendesha shughuli zake Iran na kusisitiza kuwa serikali ya Marekani haitofanikiwa kusimamisha au kuzuia ustawi wa kielimu wa wananchi wa Iran kwa kutumia mbinu ya vikwazo.

  • Uturuki: Marekani isithubutu kutuwekea aina yoyote ya vikwazo, sisi ni marafiki

    Uturuki: Marekani isithubutu kutuwekea aina yoyote ya vikwazo, sisi ni marafiki

    Mar 10, 2018 23:57

    Serikali ya Uturuki kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo, imeitahadharisha Marekani juu ya kuiwekea vikwazo vya aina yoyote.

  • IGAD yaunga mkono vikwazo dhidi ya wanaovuruga amani Sudan Kusini

    IGAD yaunga mkono vikwazo dhidi ya wanaovuruga amani Sudan Kusini

    Mar 02, 2018 04:09

    Jumuiya ya Maendeleo ya Kiserikali ya Nchi za Afrika Mashariki IGAD imetangaza kuwa inaunga mkono hatua ya kuwekewa vikwazo viongozi na shakhsia wote wanaokwamisha jitihada za kupatiwa ufumbuzi mgogoro nchini Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS