Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

vikwazo

  • Msemaji wa Rais wa Russia: Iran ni mfano wa wazi wa nchi inayoendelea ikiwa imewekewa vikwazo

    Msemaji wa Rais wa Russia: Iran ni mfano wa wazi wa nchi inayoendelea ikiwa imewekewa vikwazo

    Mar 08, 2024 07:07

    Msemaji wa ofisi ya rais wa Russia ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni mfano wa wazi wa nchi inayoendelea ikiwa imewekewa vikwazo.

  • Rais wa Iran: Tumesambaratisha vikwazo

    Rais wa Iran: Tumesambaratisha vikwazo

    Feb 03, 2024 23:23

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Kurushwa kwa satalaiti 11 za Iran kwa mafanikio kumeshinda vikwazo vya Marekani na Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Uungaji mkono usio na kikomo wa US na UK kwa utawala wa Kizayuni; kuanzia misaada ya kila hali mpaka uwekaji vikwazo dhidi ya Muqawama

    Uungaji mkono usio na kikomo wa US na UK kwa utawala wa Kizayuni; kuanzia misaada ya kila hali mpaka uwekaji vikwazo dhidi ya Muqawama

    Dec 18, 2023 02:42

    Serikali za Marekani na Uingereza zinazojinasibu kuwa watetezi wa haki za binadamu, mara hii zimeendeleza uungaji mkono wao kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya watu wa Gaza kwa kuwawekea vikwazo vipya makamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).

  • Kan'ani: Marekani, Uingereza na Canada zinapaswa kubebeshwa dhima ya jinai zote za Israel

    Kan'ani: Marekani, Uingereza na Canada zinapaswa kubebeshwa dhima ya jinai zote za Israel

    Dec 10, 2023 05:45

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, tawala za Marekani, Uingereza na Canada zinapaswa kubeba dhima ya jinai zote zinazofanywa na utawala wa Kizayuni kutokana na uungaji mkono mkubwa na wa wazi wa kijeshi, kisiasa, kijasusi na kipropaganda kwa utawala huo dhalimu hasa katika vita vya hivi sasa vya Ghaza.

  • Hatua mpya za Marekani katika fremu ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel

    Hatua mpya za Marekani katika fremu ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel

    Oct 30, 2023 08:05

    Tangu kuanza duru mpya ya vita kati ya utawala wa Kizayuni na makundi ya muqawama ya Palestina na operesheni ya Kimbunga ya Al-Aqsa na radiamali kali ya Wazayuni dhidi ya hatua hiyo, Marekani ikiwa mshirika wa kistratijia wa Israel imetoa himaya kubwa ya kisiasa, kidiplomasia na kijeshi kwa utawala huo ghasibu. Filihali Washington imechukua hatua mpya katika mwelekeo huu.

  • Kupungua uzalishaji wa viwanda nchini Ujerumani; sababu na matokeo yake

    Kupungua uzalishaji wa viwanda nchini Ujerumani; sababu na matokeo yake

    Sep 09, 2023 07:22

    Wizara ya Uchumi na Teknolojia ya Ujerumani imeripoti kwamba uzalishaji wa viwanda nchini Julai iliyopita ulishuka kwa kasi kuliko ilivyotarajiwa, na hivyo kuweka wazi matatizo yanayoukabili uchumi mkubwa zaidi barani Ulaya.

  • Khumsi (moja ya tano) ya uchumi wa dunia yawekewa vikwazo na Marekani

    Khumsi (moja ya tano) ya uchumi wa dunia yawekewa vikwazo na Marekani

    Jul 27, 2023 04:07

    Licha ya kuwa vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali dfuniani ni mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa kwa miaka mingi na viongozi wa Marekani kwa ajili ya kuzishinikiza nchi tofauti kufuata siasa zao za ubabe, lakini mbinu hii imekuwa na matokeo hasi kwa Washington katika kipindi cha muda mrefu.

  • Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya viongozi kadhaa wa Taliban

    Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya viongozi kadhaa wa Taliban

    Jul 22, 2023 22:47

    Baraza la Ulaya tarehe 20 mwezi huu wa Julai lilitangaza kuwawekea vikwazo Abdul Hakim Haqani Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu ya Afghanistan, Abdul Hakim Sharei Waziri wa Sheria na Moulavi Habibullah Agha Kaimu Waziri wa Elimu katika serikali ya mpito ya Afghanistan kwa kuhusika katika kuwanyima wasichana na wanawake wa Afghanistan haki yao ya kupata elimu, kupata haki ya kisheria, na haki sawa na wanaume wa nchi hiyo.

  • Ununuzi wa mafuta kutoka Iran, nembo ya kufeli sera za vikwazo za Magharibi

    Ununuzi wa mafuta kutoka Iran, nembo ya kufeli sera za vikwazo za Magharibi

    Jun 14, 2023 22:53

    Takwimu mpya zilizotolewa na Kituo cha Takwimu cha Ulaya (Eurostat) zinaonyesha kuwa, kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2018, Ujerumani imeagiza shehena kubwa ya mafuta au bidhaa za petroli kutoka Iran licha ya vikwazo vya Marekani.

  • Kutishiwa kuwekewa vikwazo Uganda, njama za Marekani za kuzitwisha ufuska nchi za Afrika

    Kutishiwa kuwekewa vikwazo Uganda, njama za Marekani za kuzitwisha ufuska nchi za Afrika

    Jun 01, 2023 08:42

    Rais wa Marekani, Joe Biden amelaani sheria mpya iliyotiwa saini na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda dhidi ya vitendo vya ushoga na kusema kuwa Marekani inaweza kuiwekea Uganda vikwazo na ameitaka Uganda kufuta mara moja sheria hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS