-
Israel yaazimia kuwabana zaidi wafungwa wa Kipalestina
Oct 12, 2018 07:42Utawala wa Kizayuni wa Israel unatazamiwa kushadidisha mateso na kuwawekea mbinyo zaidi wafungwa wa Kipalestina unaowazuilia katika jela zake za kuogofya.
-
Wafungwa wazusha ghasia Sudan Kusini, waiba silaha
Oct 07, 2018 07:43Hali ya taharuki imetanda katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya mamia ya wafungwa katika gereza moja kuvunja ghala la silaha na kukabiliana na walinzi.
-
'Saudia inawashikilia wanaharakati 2,500 wa upinzani'
Sep 17, 2018 02:21Shirika la kutetea haki za wafungwa la Prisoners of Conscience limesema kuwa, watawala wa Saudi Arabia wanawazuilia wanaharakati zaidi ya 2,500 wa upinzani, wakiwemo wanazuoni wa Kiislamu na waandishi wa habari.
-
Sisitizo la Jumuiya ya al-Wifaq juu ya kuachiliwa huru wafungwa wa kisiasa, Bahrain
Aug 20, 2018 03:54Kuendelea siasa za utawala wa kidikteta wa Aal-Khalifa hususan katika kuwashikilia jela wanaharakati wa kisiasa na viongozi wa mwamko wa wananchi, kumeibua malalamiko makubwa miongoni mwa raia wa Bahrain.
-
Amnesty International yamjia juu Rais Magufuli kwa kuwadhalilisha wafungwa wa Tanzania
Jul 17, 2018 07:31Shirikisha la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limemkosoa vikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutaka wafungwa nchini humo kufanyishwa kazi usiku na mchana na kupigwa mijeledi wakiwa wavivu.
-
Ethiopia kuwasamehe mamia ya watu waliohukumiwa kwa makosa ya ugaidi
Jun 16, 2018 04:04Serikali ya Ethiopia imesema kuwa itawafutia mashtaka zaidi ya wafungwa 304 wakiwemo 289 wanaotumikia vifungo vya makosa ya ugaidi.
-
Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na muamala mbaya dhidi ya wafungwa nchini Libya
Apr 11, 2018 12:46Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, makundi yanayobeba silaha nchini Libya yanawatesa na kuwaua wafungwa wanaoshikiliwa kwenye jela ambazo kidhahiri ziko chini ya udhibiti wa serikali ya nchi hiyo.
-
Sudan yawaachilia huru wafungwa wote wa kisiasa
Feb 19, 2018 07:54Serikali ya Sudan imewaachilia huru wafungwa wote wa kisiasa kufuatia msamaha uliotolewa na Rais wa nchi hiyo Omar Hassan al-Bashir.
-
Ethiopia kuwaachia huru wafungwa wote wa kisiasa
Jan 03, 2018 15:12Katika hatua ya kushtukiza, Waziri Mkuu wa Ethiopia ametangaza mpango wa serikali wa kufuta mashitaka dhidi ya wafungwa wote wa kisiasa sambamba na kufunga jela ya kuogofya ambako wafungwa hao walikuwa wanazuiliwa.
-
Wafungwa wa kisiasa Bahrain wazuiliwa kuwa na mawasiliano yoyote na nje ya jela
Nov 19, 2017 07:55Duru zenye uhusiano na familia ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kitaifa ya al-Wifaq nchini Bahrain, zimeeleza kuwa utawala wa Aal-Khalifa umemwekea vizuizi vikubwa Sheikkh Ali Salman na shakhsia wengine mashuhuri wanaoshikiliwa katika jela za nchi hiyo.