-
Ubaguzi dhidi ya wafungwa weusi waongezeka Marekani
Jul 24, 2017 15:01Uchunguzi mpya umebaini kuwa, ubaguzi wa kimbari dhidi ya wafungwa weusi wenye asili ya Afrika umeongezeka nchini Marekani.
-
UN yataka kufanyika uchunguzi kuhusu mauaji ya wafungwa Libya
Jul 19, 2017 06:29Umoja wa Mataifa umelitaka Jeshi la Taifa la Libya linalodhibiti eneo la mashariki mwa nchi hiyo kufanya uchunguzi kuhusu mauaji ya papo na hapo ya wafungwa.
-
Wafungwa wa Bahrain katika jela ya Jaw wapaza sauti wakiomba msaada
Jul 01, 2017 07:48Wafungwa waliopo katika jela ya Jaw nchini Bahrain wamewaomba raia wa nchi hiyo wawanusuru na dhulma na mateso wanaofanyiwa na watawala wa Aal Khalifa kufuatia siasa za ukandamizaji zinazotekelezwa kila uchao na utawala wa Bahrain.
-
Kiongozi Muadhamu atoa dola 85,000 ili kuachiliwa wafungwa walio na madeni
May 30, 2017 03:38Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa kiasi cha dola 85,000 kwa lengo la kusaidia kuachiliwa huru wafungwa wenye makosa yasiyo ya kukusudia ikiwa ni katika kulipa fidia ya makosa yao.
-
UN yaeleza wasi wasi wake kuhusu hali ya mateka wa Palestina
May 25, 2017 13:51Umoja wa Mataifa umeeleza wasi wasi wake kuhusu hali ya kiafya ya mateka wa Kipalestina waliosusia chakula katika magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wafungwa 17 wauawa wakijaribu kutoroka jela, Papua Guinea
May 15, 2017 07:40Wafungwa 17 wameuawa kwa kupigwa risasi na askari gereza walipokuwa katika harakati za kutoroka jela huko Papua New Guinea, nchi ndogo iliyoko kusini magharibi mwa bahari ya Pacific.
-
Askofu Mkuu wa Kikatoliki ajiunga na mgomo wa kula kuwatetea Wapalestina
May 07, 2017 07:55Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Kanisa Katoliki ameamua kususia kula chakula ili kuonyesha mshikamano na uungaji mkono wake kwa Wapalestina waliosusia kula katika magereza ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wananchi wa Afrika Kusini wasusia kula kuwaunga mkono mateka wa Palestina
May 04, 2017 07:34Wanaharakati, wafungwa wa kisiasa na wananchi wengine wa Afrika Kusini wamesusia kula chakula kuonyesha uungaji mkono wao kwa mateka wa Kipalestina waliosusia kula tangu Aprili 17 wakiwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.
-
Hizbullah yakosoa kimya cha nchi za Kiarabu juu ya Wafungwa wa Palestina
May 03, 2017 07:01Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekosoa vikali hatua ya nchi za Kiarabu kufumbia macho masaibu yanayowakabili mamia ya wafungwa wa Palestina ambao kwa sasa wamesusia kula chakula katika jela za utawala haramu wa Israel.
-
Wamorocco waandamana kuwaunga mkono Wapalestina wanaosusia kula
May 03, 2017 03:45Wananchi wa Morocco wamefanya maandaamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Rabat, kuonyesha uungaji mkono wao kwa wafungwa wa Kipalestina ambao wanadhalilishwa katika jela na magereza ya utawala haramu wa Israel.