Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wahajiri

  • Libya yaanzisha uchunguzi kuhusu biashara ya utumwa

    Libya yaanzisha uchunguzi kuhusu biashara ya utumwa

    Nov 20, 2017 02:48

    Naibu Mkuu wa Baraza la Uongozi la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Libya amesema kuwa wameanzisha uchunguzi kuhusu suala la kushikiliwa na kuuzwa wahajiri kama watumwa karibu na mji mkuu wa nchi hiyo, Tripoli.

  • Wahajiri 73 wapoteza maisha katika fukwe za Libya

    Wahajiri 73 wapoteza maisha katika fukwe za Libya

    Nov 08, 2017 07:47

    Wahajiri 73 wamekufa maji katika bahari ya Mediterranean wakati walipokuwa wanajaribu kuzifikia fukwe za Italia kutokea Libya.

  • Wahajiri wa Kiafrika wazidi kufa maji wakielekea Ulaya kutafuta maisha

    Wahajiri wa Kiafrika wazidi kufa maji wakielekea Ulaya kutafuta maisha

    Nov 07, 2017 08:20

    Kwa akali wahajiri watano wa Kiafrika wamefariki dunia baada ya boti yao kuzama katika bahari ya Mediterranean, magharibi mwa pwani ya Libya.

  • Angola yawatimua maelfu ya wahamiaji haramu wa Kongo DR

    Angola yawatimua maelfu ya wahamiaji haramu wa Kongo DR

    Nov 06, 2017 02:46

    Serikali ya Angola imewafukuza nchini humo maelfu ya wahamiaji haramu raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Askari wa gadi ya pwani nchini Italia waokoa wahajiri 700

    Askari wa gadi ya pwani nchini Italia waokoa wahajiri 700

    Nov 04, 2017 07:48

    Askari wa gadi ya pwani nchini Italia wametangaza kwamba Ijumaa ya jana waliwaokoa wahajiri 700 katika bahari ya Mediterranea.

  • Wahajiri 900 waokolewa, 7 wafa maji katika pwani ya Libya

    Wahajiri 900 waokolewa, 7 wafa maji katika pwani ya Libya

    Nov 02, 2017 08:10

    Miili saba ya wahajiri haramu imepatikana ndani ya boti ya plastiki karibu na pwani ya Libya, huku mamia ya wengine wakiokolewa kusini mwa bahari ya Mediterranean.

  • Wahajiri zaidi ya elfu 3 wakamatwa Libya

    Wahajiri zaidi ya elfu 3 wakamatwa Libya

    Oct 08, 2017 14:17

    Serikali ya Libya imewatia mbaroni maelfu ya wahajiri haramu katika mji wa Sabratha, kaskazini magharibi mwa nchi, ikiwa ni katika jitihada za kupambana na magendo ya binadamu.

  • Wahajiri 140 waokolewa baada ya boti zao kuzama Tunisia

    Wahajiri 140 waokolewa baada ya boti zao kuzama Tunisia

    Oct 01, 2017 15:15

    Jeshi la Majini la Tunisia limefanikiwa kuokoa wahajiri wapatao 140, baada ya boti zao kuzama kusini mashariki mwa nchi.

  • Jeshi la wanamaji Libya: Tumeokoa zaidi ya wahajiri 3000 ndani ya kipindi cha wiki moja

    Jeshi la wanamaji Libya: Tumeokoa zaidi ya wahajiri 3000 ndani ya kipindi cha wiki moja

    Sep 18, 2017 07:22

    Msemaji wa kikosi cha jeshi la wanamaji nchini Libya amesema kuwa, askari wa gadi ya pwani ya nchi hiyo wamefanikiwa kuokoa zaidi ya wahajiri haramu 3000 ndani ya kipindi cha wiki moja katika bahari ya Mediterranean.

  • Viwiliwili vya wahajiri 16 vyapatikani jangwani mashariki mwa Libya

    Viwiliwili vya wahajiri 16 vyapatikani jangwani mashariki mwa Libya

    Sep 06, 2017 07:10

    Vikosi vya usalama nchini Libya vimetangaza habari ya kupatikana miili 16 ya wahajiri katika eneo la jangwani, karibu na mpaka wa nchi hiyo na Misri.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS