-
Matukio ya kigaidi ya Uhispania, kisingizio cha kuzidishwa hatua za kiusalama kukabiliana na wahajiri
Aug 21, 2017 02:20Ripoti mpya ya Shirika la Wahajiri Duniani (IOM) imesema kwamba, idadi ya wahajiri wanaoingia nchini Uhispania imeongezeka.
-
UN yaikosoa Marekani kwa kuwazuilia wahajiri na wanaotafuta hifadhi
Aug 15, 2017 03:56Wataalamu wa masuala ya haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wamekosoa kitendo cha Marekani kuendelea kuwazuilia wahamiaji na raia wa kigeni wanaotafuta hifadhi nchini humo.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
Aug 13, 2017 12:34Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 11 ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Maiti 8 za wahajiri zapatikana katika boti ya plastiki Libya
Aug 02, 2017 08:16Miili 8 ya wahajiri waliokuwa wakielekea barani Ulaya imepatikana ndani ya boti ya plastiki na wapiga mbizi wa shirika moja lisilo la serikali katika pwani ya Libya.
-
Juhudi za Italia za kuwepo katika pwani ya Libya kwa ajili ya kuzuia wimbi la wahajiri
Jul 30, 2017 07:46Italia imechukua uamuzi mpya wa kutuma kikosi cha Gadi ya Pwani ili kuwazuia wahajiri wanaotokea pwani ya Libya.
-
Makubaliano kuhusu njia za kukabiliana na wahajiri haramu wa Afrika
Jul 26, 2017 03:06Katika kuendelea kukabiliana na wahajiri haramu, wawakilishi wa nchi 10 za Kiafrika, Ulaya na asasi nne za kieneo wamekubaliana kuhusu njia za kukabiliana na wahajiri hao haramu kupitia Bahari ya Mediterania na kuimarisha ushirikiano ili kuwazuia wahajiri hao.
-
Maiti 13 za wahajiri zapatikana katika boti ya plastiki Libya
Jul 25, 2017 16:30Miili 13 ya wahajiri waliokuwa wakielekea barani Ulaya imepatikana ndani ya boti ya plastiki na wapiga mbizi wa shirika moja lisilo la serikali katika pwani ya Libya.
-
Askari wa gadi ya pwani Libya wawaokoa wahajiri 300
Jul 25, 2017 08:22Kikosi cha gadi ya pwani mwa Libya kimetangaza habari ya kuokolewa wahajiri haramu 300 kutoka katika maji ya pwani mwa nchi hiyo.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
Jul 09, 2017 14:05Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tisa ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Amnesty International: EU inapaswa kubeba jukumu la wahamiaji wa Libya
Jul 07, 2017 03:51Shirika la Msamaha la Kimataifa (Amnesty International) limesema kuwa, Umoja wa Ulaya (EU) unapaswa kubeba lawama za hali mbaya ya wahajiri nchini Libya.