-
Makubaliano kuhusu njia za kukabiliana na wahajiri haramu wa Afrika
Jul 25, 2017 22:36Katika kuendelea kukabiliana na wahajiri haramu, wawakilishi wa nchi 10 za Kiafrika, Ulaya na asasi nne za kieneo wamekubaliana kuhusu njia za kukabiliana na wahajiri hao haramu kupitia Bahari ya Mediterania na kuimarisha ushirikiano ili kuwazuia wahajiri hao.
-
Maiti 13 za wahajiri zapatikana katika boti ya plastiki Libya
Jul 25, 2017 12:00Miili 13 ya wahajiri waliokuwa wakielekea barani Ulaya imepatikana ndani ya boti ya plastiki na wapiga mbizi wa shirika moja lisilo la serikali katika pwani ya Libya.
-
Askari wa gadi ya pwani Libya wawaokoa wahajiri 300
Jul 25, 2017 03:52Kikosi cha gadi ya pwani mwa Libya kimetangaza habari ya kuokolewa wahajiri haramu 300 kutoka katika maji ya pwani mwa nchi hiyo.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
Jul 09, 2017 09:35Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tisa ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Amnesty International: EU inapaswa kubeba jukumu la wahamiaji wa Libya
Jul 06, 2017 23:21Shirika la Msamaha la Kimataifa (Amnesty International) limesema kuwa, Umoja wa Ulaya (EU) unapaswa kubeba lawama za hali mbaya ya wahajiri nchini Libya.
-
UNICEF: Zaidi ya nusu ya wakimbizi barani Afrika ni watoto wadogo
Jul 05, 2017 03:44Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umesema kuwa, zaidi yawatoto milioni saba wa maeneo ya magharibi na katikati mwa Afrika wanaishi katika mazingira magumu kutokana na matatizo mbalimbali kama vile ukatili, umaskini na kuharibika hali ya hewa na kwamba idadi hiyo inaunda zaidi ya nusu ya wakimbizi barani Afrika.
-
Afghanistan yatoa shukurani kwa Iran kwa kuwahifadhi wakimbizi wa nchi hiyo
Jun 20, 2017 22:14Mkuu wa Baraza la Utekelezaji la Serikali ya Umoja wa Kitaifa nchini Afghanistan, Abdullah Abdullah ametoa shukurani za dhati kwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuwapa hifadhi maelfu ya wakimbizi wa taifa hilo katika kipindi cha miongo mitatu iliyopita.
-
Makumi ya wahajiri wahofiwa kufa maji pwani ya Libya
Jun 11, 2017 09:39Makumi ya wahajiri wanahofiwa kufa maji baada ya boti yao kuzama mashariki mwa Tripoli, mji mkuu wa Libya.
-
Miili 7 ya wahajiri wa Kiafrika yapatikana ndani ya lori Libya
Jun 05, 2017 09:36Wahajiri saba wa Kiafrika wamepoteza maisha baada ya kukosa hewa wakiwa ndani ya lori lenye jokofu kwa muda wa siku mbili katika pwani ya Libya.
-
IOM: Wanaofanya magendo ya wahajiri wanapata dola bilioni 35 kwa mwaka
May 31, 2017 22:50Shirika la Wahajiri Duniani IOM limesema watu wanaofanya biashara haramu ya magendo ya wahajiri wanatengeneza faida ya dola bilioni 35 za Marekani kila mwaka.