-
Jeshi la Nigeria laua Waislamu 10 wakishiriki Arubaini ya Imam Hussein AS
Oct 27, 2018 23:32Wanajeshi wa Nigeria wameushambulia msafara wa Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS, viungani mwa mji mkuu wa nchi Abuja, na kuua shahidi kumi miongoni mwa waumini hao.
-
Vijana wanamapinduzi wa Iran wataka kuimarishwa Umoja wa Kiislamu
Oct 26, 2018 01:19Vijana wanamapinduzi wa Iran wametoa wito wa kuimarishwa Umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu na kukabiliana na njama za Marekani na Israel.
-
UN yakosoa hatua ya Ufaransa ya kupiga marufuku burqa
Oct 23, 2018 10:03Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeijia juu serikali ya Ufaransa kwa kupiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.
-
Parnham akiri kuanzisha wimbi la mashambulizi dhidi ya Waislamu Uingereza
Oct 13, 2018 21:42Mbaguzi mashuhuri wa rangi wa Uingereza amekiri kwamba amekuwa akiwachochea raia wa nchi hiyo kuwashambulia Waislamu.
-
Wanawake Waislamu Quebec, Canada kupigwa marufuku kuvaa Hijabu
Oct 05, 2018 12:04Serikali ya Waziri Mkuu mteule wa jimbo la Quebec nchini Canada imeazimia kuwapiga marufuku wanawake Waislamu wa eneo hilo kuvaa hijabu ya aina yeyote ikiwemo mitandio ya kichwani.
-
Bunge la Ulaya lataka kusitishwa ukandamizaji dhidi ya Waislamu wa Uighur, China
Oct 05, 2018 01:03Wawakilishi wa Bunge la Ulaya wamelaani kamatakamata kubwa ya Waislamu wa jimbo la Xinjiang huko kaskazini mwa China na kutoa wito wa kusitishwa ukandamizaji wa Waislamu hao wa jamii ya Uighur (Uyghurs).
-
Hofu ya Waislamu Italia baada ya kuchaguliwa serikali ya mrengo wa kulia
Sep 26, 2018 10:23Waislamu nchini Italia wameelezea wasiwasi wao kutokana na kuchaguliwa serikali yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia katika nchi hiyo ya Ulaya.
-
Amnesty: China imetenganisha malaki ya familia za Waislamu
Sep 24, 2018 10:32Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International sambamba na kulaani ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya usalama dhidi ya Waislamu nchini China, limesema kuwa mamia ya maelfu ya familia za Waislamu nchini humo zimelazimika kutengana na jamaa zao kutokana na dhulma hizo za serikali.
-
Imam Hussein AS; mhimili wa umoja
Sep 15, 2018 07:33Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku hizi za Muharram na tukio la kuuawa shahidi Imam Hussein AS pamoja na masahaba zake katika jangwa la Karbala mwaka 61 Hijria.
-
Mashambulizi dhidi ya wanawake wa Kiislamu yaongozeka Ubelgiji
Sep 09, 2018 23:40Takwimu zinaonesha kuwa, karibu asilimia 76 ya wanawake Waislamu nchini Ubelgiji walishambuliwa na magenge ya watu wanaopinga Uislamu nchini humo katika mwaka uliopita wa 2017.