-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 06, 2017 10:06Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya nne ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
HRW: India iwazuie Wahindu wanowaua Waislamu wenye kuchinja ng'ombe
Apr 28, 2017 22:02Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limeitaka serikali ya India ichukue hatua kuzuia mauaji yanayofanywa na Wahindu dhidi ya Waislamu kwa sababu tu wanachinja ng'ombe.
-
Kushadidi vitendo vya utumiaji mabavu dhidi ya Waislamu nchini Nigeria
Apr 19, 2017 07:41Baada ya viongozi wa Nigeria kukataa kumuachilia huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Waislamu wa nchi hiyo kwa mara nyingine tena wameandamana wakitaka kuachiliwa huru mwanaharakati huyo wa Kiislamu.
-
Waislamu Marekani wafanya kongamano kubwa la dini tatu za mbinguni
Apr 17, 2017 03:42Waislamu wa mji wa Baltimore, nchini Marekani wamefanya kongamano la 42 la kila mwaka la Waislamu wa nchi hiyo kwa kushiriki Waislamu elfu 20 kutoka maeneo mbalimbali ya taifa hilo.
-
Jeshi la Myanmar Labomoa Msikiti wa Kihistoria
Apr 08, 2017 03:03Jeshi la Myanmar limetumia mabuldoza kuubomoa kikamilifu msikiti wa kihistoria katika mkoa wa Waislamu wa Rakhine nchini humo.
-
Waislamu China marufuku kuwa na ndevu ndefu, niqab
Apr 01, 2017 23:36Serikali ya China imepiga marufuku wanaume Waislamu kufuga ndevu ndefu na wanawake Waislamu kuvaa niqabu katika eneo la Xinjiang lenye Waislamu karibu milioni 10 wa kabila la Uigur.
-
Ongezeko la 62% la chuki dhidi ya Uislamu Austria
Mar 30, 2017 03:22Kumeshuhudiwa ongezeko la 62% la chuki dhidi ya Uislamu nchini Austria mwaka 2016.
-
Asilimia 60 ya Waislamu Marekani wanabaguliwa
Mar 22, 2017 03:34Uchunguzi mpya wa maoni umebaini kuwa asilimia 60 ya Waislamu nchini Marekani wamebaguliwa kwa njia moja au nyingine katika kipindi cha mwaka moja uliopita.
-
Marekani na Uingereza zawabana zaidi wasafiri kutoka nchi kadhaa za Waislamu
Mar 22, 2017 02:58Serikali ya Marekani jana Jumanne ilipiga marufuku wasafiri kutoka nchi 8 za Waislamu kuingia katika ndege zinazoelekea nchini humo wakiwa na zana za electroniki kubwa zaidi ya simu za kiganjani. Nchi hizo 8 za Waislamu ni Jordan, Misri, Uturuki, Saudi Arabia, Kuwait, Morocco, Qatar na Imarati.
-
Maadui wa Waislamu washambulia msikiti mwingine nchini Marekani
Mar 17, 2017 00:27Vyombo vya habari vya nchini Marekani vimeripoti habari ya kushambuliwa msikiti mwingine, kusini magharibi mwa nchi hiyo.