-
Waislamu walaani marufuku ya Hijabu katika mahakama ya EU
Mar 16, 2017 03:59Waislamu barani Ulaya wamelaani vikali hatua ya Mahakama ya Uadilifu ya Ulaya kutoa hukumu kuwa waajiri wanaweza kuwazuia wafanyakazi wa kike Waislamu kuvaa hijabu kazini.
-
Bunge la Uswisi lapinga muswada wa kupiga marufuku vazi la burqa
Mar 10, 2017 10:30Bunge la Uswisi limekataa kupasisha muswada wa kupiga marufuku nchini humo vazi la stara la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.
-
Waislamu wa Marekani wasaidia kifedha kukarabati makaburi ya Mayahudi yaliyobomolewa
Feb 23, 2017 00:15Waislamu nchini Marekani wamechangisha maelfu ya dola kusaidia ukarabati wa makaburi ya Mayahudi yaliyobomolewa katika jimbo la Missouri.
-
Asilimia kubwa ya Wamarekani wanapinga kuzuiwa Waislamu kuingia US
Feb 21, 2017 10:48Matokeo ya utafiti wa maoni yanaonyesha kuwa asilimia kubwa ya raia wa Marekani wanapinga marufuku ya kuzuiwa Waislamu kuingia nchi hiyo.
-
Wamarekani walio wengi wapinga marufuku ya Waislamu kuingia nchini humo
Feb 19, 2017 10:25Uchunguzi mpya wa maoni uliofanyika nchini Marekani unaonesha kuwa asilimia kubwa ya raia wa nchi hiyo wanapinga marufuku ya kuingia Waislamu nchini Marekani.
-
Merkel: Russia na Waislamu wajumuishwe katika vita dhidi ya ugaidi
Feb 19, 2017 04:13Kansela wa Ujerumani ametoa mwito wa kushirikishwa Russia na Waislamu katika kukabiliana na jinamizi la ugaidi.
-
Makundi yaliyo dhidi ya Waislamu yaongezeka kwa kasi Marekani
Feb 17, 2017 23:10Idadi ya makundi yaliyo dhidi ya Waislamu yameongezeka karibu mara tatu Marekani mwaka 2016 baada ya kuanza kampeni za urais za Donald Trump.
-
Jumatano, 8 Februari, 2017
Feb 08, 2017 00:06Leo ni Jumatano tarehe 10 Jamadil Awwal 1438 Hijria sawa na Februari 8, 2017.
-
Jeshi na polisi ya Myanmar zatenda jinai dhidi ya wanawake wa Kiislamu
Feb 07, 2017 04:07Shirika la Kutetea Haki za Binadamu limeripoti kuwa jeshi na polisi ya Myanmar zinaratibu jinai dhidi ya wanawake wa Kiislamu nchini humo.
-
Ayatullah Larijani: Maadui wanaogopa Iran kuwa kigezo kwa Waislamu bilioni moja
Feb 05, 2017 23:45Mkuu wa Idara ya Vyombo vya Mahakama nchini Iran amesema kuwa wahka na wasiwasi mkubwa wa maadui unatokana na kuiona Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ikiwa kigezo na ruwaza njema kwa Waislamu zaidi ya bilioni moja duniani.