-
Kuwait yakanusha madai ya kupiga marufuku raia wa nchi za Kiislamu
Feb 05, 2017 23:12Serikali ya Kuwait imekadhibisha habari ya tetesi iliyoenea katika baadhi ya vyombo vya habari kwamba nchi hiyo imepiga marufuku raia wa nchi kadhaa za Kiislamu kuingia nchini humo.
-
Mwandishi habari Mmarekani awaomba radhi Waislamu kutokana na ubaguzi wa Trump
Feb 05, 2017 04:49Mwandishi habari maarufu nchini Marekani amewaomba radhi Waislamu wote duniani na kusema: "Wamarekani wanapaswa kusimama kidete dhidi ya watu wenye misimamo mikali."
-
Wanawake Waislamu Nigeria walaani kukandamizwa hijabu
Feb 02, 2017 10:31Muungano wa makundi ya wanawake kwa jina la "Hijab Rights Advocacy Initiative" wa nchini Nigeria jana ulilaani kile ulichokitaja kuwa kuendelea kukandamizwa wanawake wanaovaa vazi la stara la hijabu, na kulitaka bunge la nchi hiyo kubuni sheria ili kukomesha unyanyasaji huo wa wanawake wanaovaa hijabu.
-
Kupelekwa Waislamu wa Myanmar katika kisiwa cha Bangladesh
Feb 01, 2017 04:34Serikali ya Bangladesh imesisitiza kutekeleza mpango wa kuwapatia makazi wakimbizi wa Kiislamu wa jamii ya Rohingya katika kisiwa cha Tangarchar katika Ghuba ya Bengal.
-
Hijabu ya Kiislamu yapigwa marufuku maeneo ya umma Austria
Feb 01, 2017 00:51Serikali ya Austria imechukua hatua ya kuwapiga marufuku wanawake Waislamu kuvaa aina ya hijabu inayofunuka uso wote, yaani niqabu, katika maeneo yote ya umma nchini humo.
-
5 wauawa kwa risasi kwenye hujuma dhidi ya msikiti Quebec, Canada
Jan 30, 2017 04:08Kwa akali watu watano wameuawa katika hujuma ya kikatili dhidi ya msikiti mmoja katika mji wa Quebec nchini Canada usiku wa kuamkia leo.
-
Dunia yalaani hatua ya Trump kuwazuia Waislamu kuingia Marekani
Jan 29, 2017 10:15Hatua ya rais Donald Trump kuwazuia wahamiaji Waislamu kuingia nchini humo inaendelea kulaani na kukoslewa kote duniani na Marekani kwenywe.
-
Trump asaini amri ya kupiga marufuku Waislamu kuingia Marekani
Jan 28, 2017 00:49Rais Donald Trump wa Marekani ametia saini amri ya kuwazuia Waislamu kuingia nchini humo ambapo hivi sasa kutakuwa na vizingiti kwa wahamiaji na wakimbizi kwa lengo la kuwazuia watu aliowataja kuwa, 'magaidi wa Kiislamu wenye misimamo mikali' kuingia katika nchi hiyo.
-
Ombi la kutaka uchunguzi huru wa kimataifa kuhusu mauaji ya Waislamu nchini Myanmar
Jan 24, 2017 04:49Makundi 41 ya kiraia nchini Myanmar na Mashariki mwa Asia yametoa taarifa na kutaka uchunguzi huru wa kimataifa ufanyike kuhusu mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu za Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar ambao wanakandamizwa na serikali pamoja na mabudha wenye misimamo mikali nchini humo.
-
Sheikh Ikrima Sabri: Kuhamishiwa ubalozi wa Marekani Baytul Muqaddas ni kutangaza vita dhidi ya Waislamu
Jan 21, 2017 03:30Khatibu wa Masjidul Aqswa amesenma kuwa, kuhamishwa ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv na kupelekwa Baytul Muqaddas kutakuwa ni sawa na kutangaza vita sio tu dhidi ya Wapalestina bali dhidi ya Waarabu na Waislamu wote.