Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Waislamu Marekani walaani hujuma ya 'kigaidi' Ohio

    Waislamu Marekani walaani hujuma ya 'kigaidi' Ohio

    Nov 29, 2016 10:41

    Viongozi wa Kiislamu nchini Marekani wamelaani vikali kile vyombo vya usalama vimetaja kuwa hujuma ya kigaidi katika jimbo la Ohio, ambapo mwanafunzi mmoja wa Marekani mwenye asili ya Somalia aliwashambulia kwa kisu wanachuo wenzake.

  • Jumuiya ya haki za binadamu  Nigeria yatoa wito wa kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Jumuiya ya haki za binadamu Nigeria yatoa wito wa kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky

    Nov 21, 2016 23:16

    Jumuiya ya Kutetea Haki za Binadamu ya Nigeria imetoa wito wa kuachiliwa huru mara moja Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya nchi hiyo.

  • Maandamano ya kuwaunga mkono Waislamu Marekani yaendelea, mara hii ni wakazi wa Kentucky

    Maandamano ya kuwaunga mkono Waislamu Marekani yaendelea, mara hii ni wakazi wa Kentucky

    Nov 21, 2016 23:15

    Wakazi wa jimbo la Kentucky nchini Marekani wamefanya maandamano kwa kukusanyika mbele ya kituo cha Kiislamu cha mji huo kuwaunga mkono Waislamu hususan baada ya uchaguzi wa rais uliompa ushindi Donald Trump, mfanyabiashara mwenye misimamo ya chuki dhidi ya wafuasi wa dini hiyo.

  • Rakhine, machinjio ya Waislamu wa Rohingya, Myanmar

    Rakhine, machinjio ya Waislamu wa Rohingya, Myanmar

    Nov 19, 2016 23:10

    Jimbo la Rakhine lenye idadi kubwa zaidi ya Waislamu nchini Myanmar limeendelea kushuhudia ukatili na mauaji ya kutisha dhidi ya wafuasi wa dini hiyo.

  • UN: 30 elfu wamelazimika kuwa wakimbizi Myanmar tangu Oktoba

    UN: 30 elfu wamelazimika kuwa wakimbizi Myanmar tangu Oktoba

    Nov 19, 2016 04:11

    Umoja wa Mataifa umesema operesheni kali ya kiusalama inayoendelea kushuhudiwa katika jimbo la Rakhine nchini Myanmar imesababisha makumi ya maelfu ya watu kubaki bila makazi tangu mwezi uliopita wa Oktoba.

  • Mazishi ya Waislamu waliouawa kinyama na Jeshi la Nigeria

    Mazishi ya Waislamu waliouawa kinyama na Jeshi la Nigeria

    Nov 17, 2016 23:53

    Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (INM) imefanya mazishi ya Waislamu waliouawa kinyama hivi karibuni na jeshi la nchi hiyo katika mji wa kaskazini wa Kano.

  • Kuendelea kuuliwa Waislamu wa Myanmar na jeshi la nchi hiyo

    Kuendelea kuuliwa Waislamu wa Myanmar na jeshi la nchi hiyo

    Nov 17, 2016 23:35

    Taasisi ya Taifa ya Arakan Rohingya ARNO (Arakan Rohingya National Organisation) imetangaza kuwa, Waislamu wasiopungua 150 wameuliwa na wanajeshi wa Myanmar katika kipindi cha siku tano zilizopita katika mkoa wa Rakhin wa magharibi mwa nchi hiyo.

  • Kushambuliwa Waislamu na jeshi la Nigeria

    Kushambuliwa Waislamu na jeshi la Nigeria

    Nov 15, 2016 07:42

    Katika kuendelea vitendo vya mauaji vya jeshi la Nigeria dhidi ya Waislamu, kwa mara nyingine Waislamu wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika wameshambuliwa na jeshi.

  • Jeshi la Myanmar laua makumi ya Waislamu wa Rohingya

    Jeshi la Myanmar laua makumi ya Waislamu wa Rohingya

    Nov 14, 2016 11:55

    Jeshi la Myanmar limeua makumi ya Waislamu wa kabila la Rohingya katika wimbi jipya la ukandamizaji unaofanyika nchini humo dhidi ya jamii hiyo ya waliowachache hususan katika mkoa wa Rakhine.

  • Mamia ya nyumba za Waislamu wa Myanmar zachomwa moto

    Mamia ya nyumba za Waislamu wa Myanmar zachomwa moto

    Nov 13, 2016 04:46

    Mamia ya nyumba za Waislamu wa Myanmar zimechomwa moto magharibi mwa nchi hiyo sambamba na kuendelea ukandamizaji dhidi ya wafuasi wa dini hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS