-
Jamhuri ya Afrika ya Kati yawalaani wanaotaka kufufua mauaji
Jun 20, 2016 10:03Serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imeyalaani makundi ya watu ambao wanafanya njama za kurejesha ukosefu wa amani na mauaji katika mji mkuu wa nchi hiyo, Bangui.
-
Askari mwandamizi wa Marekani akamatwa kwa kujaribu kuua Waislamu
Jun 11, 2016 02:39Ofisa mwandamizi wa jeshi la Marekani anatazamiwa kupandishwa kizimbani karibuni hivi kwa madai ya kutishia kushambulia msikiti na kuua waumini wa Kiislamu katika jimbo la Carolina Kaskazini.
-
China yawazuia tena Waislamu wa Xinjiang kufunga Saum ya Ramadhani
Jun 07, 2016 23:29Serikali ya China, kwa mara nyingine, imewaamuru wanafunzi, wafanya kazi wa umma na hata wakaazi wa kawaida katika eneo lenye Waislamu wengi la Xinjiang kutofunga Saum ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Baadhi ya Waislamu waanza funga ya mwezi wa Ramadhani
Jun 06, 2016 03:11Baadhi ya Waislamu kutoka pembe mbali mbali za dunia wameanza ibada ya funga ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Kulalamikiwa vitendo vya kibaguzi vya Uingereza dhidi ya Waislamu
May 27, 2016 23:18Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya nchini Uingereza imeulalamikia vikali uamuzi wa kibaguzi wa saerikali ya nchi hiyo wa kuunda timu ya kuchunguza namna ya utekelezaji wa sheria na kanuni za Kiislamu nchini humo.
-
Chama chenye misimamo mikali Ujerumani chavunja mazungumzo na Waislamu
May 24, 2016 11:51Chama cha mrengo wa kulia nchini Ujerumani cha AfD kimevunja mazungumzo yaliyotazamia kuupatia ufumbuzi mkwaruzano kati yao na wanaharakati Waislamu nchini humo.
-
Matatizo ya Waislamu wa Marekani hata baada ya kufariki kwao dunia
May 23, 2016 23:05Waislamu wa Marekani hawakabiliwi na matatizo katika kipindi cha uhai wao tu bali hata wanapofariki dunia matatizo hayo bado huwaandama.
-
Trump ajikosha, asaka kura za Waislamu wa Marekani kwa udi na uvumba
May 23, 2016 02:57Donald Trump, anayewania kuteuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais wa Marekani na ambaye ni maarufu kwa maneno ya chuki dhidi ya Waislamu, hivi sasa anaonekana kuhaha kutafuta kura za Waislamu.
-
Waislamu Uingereza waendesha kampeni maalumu za kuutambulisha Uislamu
May 21, 2016 23:52Jumuiya ya Waislamu wa Uingereza imeitisha kikao maalumu cha kujibu maswali ya wanafunzi wa Vyuo Vikuu kuhusiana na Uislamu na utamaduni wa Kiislamu.
-
Mkutano wa kiusalama wafanyika katika msikiti mmoja nchini Rwanda
May 17, 2016 09:17Wakuu wa vyombo vya usalama na viongozi wa Kiislamu wa Rwanda wamefanya mkutano katika msikiti mmoja nchini humo kujadili mustakabali wa kiusalama.