-
Al Azhar kuasisi asasi ya kukurubisha madhehebu ya Kiislamu Misri
May 12, 2016 23:41Mhadhiri mmoja wa fikihi katika Chuo Kikuu cha al Azhar cha Misri ametangaza habari ya kuasisiwa taasisi maalumu ya kukurubisha madhehebu ya Kiislamu.
-
Mabasi ya London yana mabango ya 'Subhan Allah' katika Kampeni ya Mwezi wa Ramadhani
May 10, 2016 23:47Shirika moja la kutoa misaada nchini Uingereza limeanzisha kampeni ya matangazo yenye mabango ya 'Subhan Allah' kwa ajili ya kushajiisha watu watoe misaada katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
-
Serikali ya Myanmar na hali mbaya ya Waislamu wa Rohingya
May 04, 2016 03:23Katika hali ambayo matatizo ya Waislamu wa Rohingya katika kambi za wakimbizi yanaendelea kushuhudiwa, makundi yanayofungamana na Waislamu yametoa ripoti kuhusiana na matatizo mapya yanayowakabili Waislamu hao.
-
Ugaidi unaenea kutokana na hitilafu za kimadhehebu, kikaumu katika nchi za Kiislamu
May 02, 2016 23:28Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema, ugaidi unaenea Mashariki ya Kati kutokana na hitilafu za kikaumu na kimadhehebu katika nchi za Kiislamu.
-
Mji mmoja nchini Bulgaria wapiga marufuku vazi la Burqa
Apr 28, 2016 10:46Mji wa Pazardzhik nchini Bulgaria umepiga marufuku vazi la stara la burqa linalovaliwa na wanawake wa Kiislamu.
-
Ireland yaweka sheria ya kuwawajibisha mawakili Waislamu kuapa kwa kutumia Qur'ani
Apr 24, 2016 23:35Jamii ya wanasheria nchini Ireland, imewawajibisha mawakili na washauri wa sheria Waislamu kutumia Qur'ani Tukufu wakati wa kula kiapo.
-
Mwito wa Umoja wa Mataifa kwa serikali ya Myanmar
Apr 22, 2016 00:08Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki moon amemtaka mjumbe maalumu wa umoja huo nchini Myanmar atafute njia za kutatua mgogoro wa Waislamu wa kabila la Rohingya na kuwaondolea masaibu yao, baada ya kufa maji - siku chache zilizopita - makumi ya Waislamu hao kutokana na mateso wanayofanyiwa na mabudha wenye chuki kali za kidini.
-
Wakristo Marekani wajifunza Uislamu makanisani
Apr 18, 2016 22:41Licha ya kuongezeka vitendo vya chuki dhidi ya Waislamu nchini Marekani, baadhi ya makanisa ya nchi hiyo yameamua kuitisha vikao mbalimbali vya kujifunza na kuutambua vizuri Uislamu.
-
al-Azhar yalaani vikali hujuma za Wahindu dhidi ya Waislamu nchini India
Apr 08, 2016 09:21Chuo Kikuu cha Kiislamu nchini Misri cha Al-Azhar kimelaani vikali hujuma na mashambulio dhidi ya Waislamu nchini India yanayofanywa na Wahindu kwa kisingizio cha kutumia nyama ya ng'ombe.
-
Wanafunzi wanaume Waislamu Uswisi wasameheka kuwapa mkono walimu wao wa Kike
Apr 05, 2016 11:30Wanafunzi Waislamu wa Manispaa ya Therwil katika jimbo la Basel nchini Uswisi hawatohitajika tena kuwapa mikono walimu wao wa kike kufuatia uamuzi uliotolewa Mamlaka za Elimu katika eneo hilo.