-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
Jul 09, 2017 09:35Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya tisa ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
FAO: Kuna wakimbizi milioni mbili katika mikoa ya Tanganyika na Kasaï Kongo DR
Jun 29, 2017 10:09Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza habari ya kuweko wakimbizi milioni mbili katika mikoa miwili ya Tanganyika, mashariki mwa nchi na Kasaï, katikati mwa taifa hilo.
-
UNHCR: Mamilioni ya watu wamekuwa wakimbizi duniani
Jun 19, 2017 10:58Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa (UNHCR) imetangaza kuwa, watu milioni 65 na laki sita walikuwa wakimbizi kote duniani hadi kufikia mwishoni mwa mwaka uliopita wa 2016.
-
UN yaonya kuhusu hali ya watu milioni 130 wanaokabiliwa na hali mbaya ulimwenguni
Jun 17, 2017 23:21Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watu milioni 130 katika maeneo mbalimbali duniani wanakabiliwa na mugogoro ya kibinadamu na ukimbizi.
-
Asasi za kiraia zatahadharisha juu ya kuendelea hali mbaya ya wakimbizi Chad
Jun 01, 2017 02:50Asasi zisizo za kiserikali zimeonya kuhusiana na kuendelea kuwa mbaya hali ya wakimbizi na mgogoro wa kibinadamu nchini Chad.
-
UN: Matatizo yote ya Wapalestina yanatokana na Israel
May 31, 2017 22:50Umoja wa Mataifa umesema kuwa, matatizo yote waliyo nayo Wapalestina hivi sasa yanatokana na kukaliwa kwa mabavu ardhi zao na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Mfululizo wa vipindi vya 'Ukatili wa Mabudha dhidi ya Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar' na Sauti
May 28, 2017 06:45Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya sita ya makala yanayozungumzia jinai na ukatili wa kutisha unaofanywa na Mabudha wenye kuchupa mipaka dhidi ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar.
-
Malango: Wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaendelea kuingia Uganda
May 10, 2017 22:58Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini Uganda amesema kuwa, wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaendelea kuingia nchini humo kila siku.
-
UN yataka suala la wakimbizi Libya lishughulikiwe ipasavyo
Feb 11, 2017 13:08Maafisa kadhaa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa wametaka kuchukuliwe hatua za kivitendo za kufuatilia hali ya wakimbizi wa nchini Libya.
-
Kuafiki Kenya uakhirishaji tarehe ya kufunga kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani, Dadaab
Nov 18, 2016 04:39Hatimaye baada ya mazungumzo magumu, serikali ya Kenya wiki hii imeafiki kuakhirisha tarehe ya kufungwa kambi ya wakimbizi ya Daadab iliyo karibu na mpaka wa nchi hiyo na Somalia.