-
Waziri Mkuu wa Hungary awaita wakimbizi Waislamu 'wavamizi'
Jan 10, 2018 04:35Waziri Mkuu wa Hungary amewataja wakimbizi Waislamu wanaowasili katika nchi za Ulaya wakikimbia migogoro Mashariki ya Kati na Kaskazini mwa Afrika kuwa 'wavamizi Waislamu'.
-
Kwa siku watu 15000 wanalazimika kuwa wakimbizi wa ndani barani Afrika
Dec 06, 2017 07:57Vita, ukatili na unyanyasaji unaoendelea kushuhudiwa katika nchi nyingi za Afrika vimesababisha wastani wa watu 15 elfu kuwa wakimbizi wa ndani kila siku, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu 2017.
-
Wakimbizi 12,000 kutoka DRC waingia Zambia, UNHCR haina fedha za kuwashguhulikia
Dec 04, 2017 07:39Zaidi ya wakimbizi 12,000 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekimbilia nchi jirani ya Zambia kutafuta hifadhi kutokana na machafuko Kusini Mashariki mwa nchi yao.
-
Wakimbizi wa Burundi nchini Tanzania wanakabiliwa na hali mbaya: UNHCR
Dec 01, 2017 16:29Maelfu ya wakimbizi wa Burundi wanaishi katikia hali mbaya kwenye kambi za wakimbizi nchini Tanzania kwa sababu ya uhaba wa fedha. hayo yamesemwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.
-
Nchi kadhaa za Ulaya zakubali kupokea wakimbizi
Nov 18, 2017 07:00Nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya zimeafiki kupokea wakimbizi wapya baada ya tahadhari iliyotolewa na Umoja wa Mataifa.
-
UN: Kitendo cha EU kuisaidia Libya kuwazuilia wakimbizi sio cha kibinadamu
Nov 15, 2017 07:23Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema sera ya Umoja wa Ulaya ya kuwasaidia maafisa wa serikali ya Libya kuwazuilia wakimbizi wanaotaka kwenda Ulaya kupitia safari hatari za baharini ni kitendo kisicho cha ubinadamu.
-
UN yaanza kuwahamisha wakimbizi wa Kiafrika kutoka Libya hadi Niger
Nov 12, 2017 14:12Umoja wa Mataifa umeanza zoezi la kuwahamisha wakimbizi wa nchi za Afrika walioko Libya na kuwapeleka nchini Niger.
-
Wakimbizi wa Kongo DR wadai kuwa jeshi linaua na kubaka raia
Nov 09, 2017 07:47Maelfu ya wakimbizi raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliokimbilia nchi jirani ya Zambia wamelituhumu jeshi la nchi yao kuwa linahusika na mauaji na ubakaji dhidi yao.
-
EU: Idadi ya watoto mayatima wa Rohingya waliokimbilia Bangladesh ni 40,000
Nov 02, 2017 07:31Kamishna Mkuu wa Misaada ya Kibinadamu na Kudhibiti Majanga wa Umoja wa Ulaya amesema zaidi ya watoto elfu 40 ni miongoni mwa malaki ya wakimbizi wa jamii ya Rohingya waliokimilia nchini Bangladesh kutokana na mauaji na ukandamizaji unaofanywa dhidi yao na serikali ya Myanmar.
-
Mauaji ya Waislamu wa Rohingya Myanmar yamewafanya mayatima, watoto 14 elfu
Oct 16, 2017 08:14Idara ya Huduma za Kijamii nchini Bangladesh imesema watoto karibu 14 elfu wa Rohingya wamekuwa mayatima baada ya kupoteza wazazi wao katika mauaji yanayofanywa dhidi ya Waislamu wa jamii hiyo nchini Myanmar.