-
Radiamali ya viongozi wa Ulaya kuhusu mgogoro wa wakimbizi wa Kiafrika
Oct 11, 2017 08:13Rais Emannuel Macron wa Ufaransa Jumamosi iliyopita aliarifu kuhusu kuasisiwa ofisi ya kuwapokea wakimbizi katika nchi mbili za Kiafrika. Alisema kuwa katika wiki zijazo kabla ya kumalizika mwezi huu wa Oktoba, ofisi hizo zitaasisiwa huko Chad na Niger kwa ajili ya kuwatambaua raia waliotimiza masharti ya kuwa wakimbizi.
-
UNHCR yaomba bajeti kwa ajili ya kuwasaidia Waislamu wa Myanmar
Oct 05, 2017 04:35Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limeomba bajeti kwa ajili ya kuwasaidia wakimbizi wa Kiislamu wa jamii ya Rohingyya wa nchini Myanmar.
-
Maelfu ya raia wa Congo wakimbilia Zambia kutokana na machafuko
Oct 04, 2017 02:23Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekimbilia nchi jirani ya Zambia katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita wakikimbia ghasia na machafuko yanayoendelea nchini kwao.
-
DRC yafunga radio iliyokosoa mauaji ya wakimbizi wa Burundi
Sep 30, 2017 08:13Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesimamisha matangazo ya radio moja inayomilikiwa na Chama cha Wafanyabiashara wa Burundi, kwa kukosoa mauaji ya wakimbizi Warundi waliouawa hivi karibuni na wanajeshi wa DRC.
-
Cameroon yawatimua wakimbizi laki moja wa Nigeria
Sep 28, 2017 02:29Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limekosoa vikali hatua ya Cameroon kuwafukuza nchini wakimbizi zaidi ya laki moja raia wa Nigeria.
-
Taasisi ya Haki za Binadamu: Kongo inapasa kutekeleza majukumu yake kuhusu wakimbizi
Sep 22, 2017 16:20Mratibu wa Kitaifa wa Taasisi Zisizo za Kiserikali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameitaka serikali ya nchi hiyo kutekeleza majukumu yake kuhusu suala la haki za wakimbizi na raia wanaotafuta hifadhi nchini humo.
-
UN yaeleza wasi wasi wake kuhusu wimbi la wakimbizi wa Rohingya nchini Bangladesh
Sep 09, 2017 07:45Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limeeleza wasi wasi mkubwa lilionao kutokana na kuendelea kumiminika idadi kubwa ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Bangladesh.
-
Wakimbizi 300 waanza kurejea Burundi kutoka Tanzania
Sep 07, 2017 07:46Awamu ya kwanza ya wakimbizi wa Burundi wanaorejea kwa hiari kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao leo.
-
Kushtadi hatua dhidi ya wahajiri, Ulaya Mashariki
Sep 03, 2017 11:11Katika hatua ya kutekeleza siasa zake dhidi ya uhajiri, serikali ya Hungary imeutaka Umoja wa Ulaya kulipa nusu ya gharama za kuanzishwa mzingiro wa kimpaka wa nchi hiyo kwa lengo la kuwazuia wahajiri kuingia nchini humo.
-
Kansela wa Ujerumani aunga mkono siasa za kuwapokea wakimbizi
Aug 27, 2017 14:36Kansela wa Ujerumani bi Angela Merkel ameunga mkono siasa zinazotekelezwa na serikali yake za kuwapokea wakimbizi nchini humo.