-
UN yaeleza wasi wasi wake kuhusu wimbi la wakimbizi wa Rohingya nchini Bangladesh
Sep 09, 2017 03:15Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limeeleza wasi wasi mkubwa lilionao kutokana na kuendelea kumiminika idadi kubwa ya wakimbizi Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini Bangladesh.
-
Wakimbizi 300 waanza kurejea Burundi kutoka Tanzania
Sep 07, 2017 03:16Awamu ya kwanza ya wakimbizi wa Burundi wanaorejea kwa hiari kutoka Tanzania wanatarajiwa kuwasili nchini mwao leo.
-
Kushtadi hatua dhidi ya wahajiri, Ulaya Mashariki
Sep 03, 2017 06:41Katika hatua ya kutekeleza siasa zake dhidi ya uhajiri, serikali ya Hungary imeutaka Umoja wa Ulaya kulipa nusu ya gharama za kuanzishwa mzingiro wa kimpaka wa nchi hiyo kwa lengo la kuwazuia wahajiri kuingia nchini humo.
-
Kansela wa Ujerumani aunga mkono siasa za kuwapokea wakimbizi
Aug 27, 2017 10:06Kansela wa Ujerumani bi Angela Merkel ameunga mkono siasa zinazotekelezwa na serikali yake za kuwapokea wakimbizi nchini humo.
-
Matukio ya kigaidi ya Uhispania, kisingizio cha kuzidishwa hatua za kiusalama kukabiliana na wahajiri
Aug 20, 2017 21:50Ripoti mpya ya Shirika la Wahajiri Duniani (IOM) imesema kwamba, idadi ya wahajiri wanaoingia nchini Uhispania imeongezeka.
-
Uganda yafungua kambi mpya kwa ajili ya wakimbizi wa Sudan Kusini
Aug 16, 2017 23:42Uganda imefungua kambi mpya kwa ajili ya kuwapokea maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini wanaozidi kumiminika kila uchao katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Oxfam yatahadharisha kuhusu madhara ya kuwazuia wahajiri kuingia Ulaya
Aug 09, 2017 22:31Shirika la kimataifa la misaada ya kibinadamu la Oxfam lenye makao yake mjini London limeutahadharisha Umoja wa Ulaya kuhusu hatua yake ya kuwazuia wahajiri wanaotoka Libya kuingia barani humo.
-
Kukataa Poland kuwapokea wahajiri Waislamu
Aug 08, 2017 22:02Serikali ya Poland imetangaza msimamo wake mpya kuhusiana na kupinga kuwapokea wahajiri na kusema kuwa, haitawapokea wahajiri kutoka Mashariki ya Kati na Afrika.
-
Der Spiegel: Mazingira ya kambi za wakimbizi Libya ni mabaya sana
Aug 07, 2017 03:26Imeelezwa kuwa, mazingira yanayotawala katika kambi za wakimbizi nchini Libya ni mabaya sana.
-
Ufaransa na mgogoro wa wakimbizi wa Calais
Aug 03, 2017 21:56Mamia ya wakimbizi walioko katika kambi ya Calais huko kaskazini mwa Ufaransa wanaendelea kusumbuliwa na hali mbaya kupita kiasi, na siasa na sera tofauti na zinazokinzana za viongozi wa Ufaransa zimezidisha hali mbaya ya wakimbizi hao.