Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wakimbizi

  • Misiba ya wakimbizi yajikariri, makumi wahofiwa kufa maji pwani mwa Libya

    Misiba ya wakimbizi yajikariri, makumi wahofiwa kufa maji pwani mwa Libya

    Jul 08, 2017 22:21

    Makumi ya watu wanahofiwa kufa maji katika maji ya pwani ya Libya katika Bahari ya Mediterania.

  • UNHCR: Libya, imekuwa njia ya mauati ya maelfu ya wahajiri wanaotaka kuelekea Ulaya

    UNHCR: Libya, imekuwa njia ya mauati ya maelfu ya wahajiri wanaotaka kuelekea Ulaya

    Jul 04, 2017 08:05

    Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataif (UNHCR) imetangaza kuwa, Libya ndiyo njia inayosababisha mauti na vifo vingi zaidi vya wakimbizi wanaotaka kuelekea Ulaya kupitia Bahari ya Mediterania.

  • Manowari ya Ireland yaokoa wahajiri 712 karibu na Libya

    Manowari ya Ireland yaokoa wahajiri 712 karibu na Libya

    Jun 26, 2017 11:38

    Manowari moja ya Ireland imewaokoa watu 712 wakiwemo akinamama wajawazito na watoto wachanga katika pwani ya mji mkuu wa Libya, Tripoli.

  • Katibu Mkuu UN: Sharti vita vimalizike Sudan Kusini ili kutatua mgogoro wa wakimbizi

    Katibu Mkuu UN: Sharti vita vimalizike Sudan Kusini ili kutatua mgogoro wa wakimbizi

    Jun 23, 2017 23:06

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema suluhu ya wimbi kubwa la wakimbizi barani Afrika tangu mauaji ya Kimbari ya Rwanda ni kumaliza mgogoro wa Sudan Kusini.

  • UN yaipongeza Iran kwa kutoa huduma ziada kwa wakimbizi

    UN yaipongeza Iran kwa kutoa huduma ziada kwa wakimbizi

    Jun 21, 2017 23:12

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Wakimbizi UNHCR limeipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kutoa huduma ziada kwa wakimbizi.

  • Kongo DR yatahadharisha ongezeko la wakimbizi wa Burundi nchini humo

    Kongo DR yatahadharisha ongezeko la wakimbizi wa Burundi nchini humo

    Jun 21, 2017 03:03

    Mkuu wa Kamisheni ya Taifa ya Kushughulikia wakimbizi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ametahadharisha juu ya ongezeko la wakimbizi wa Burundi kuzidi kiwango cha ukubwa wa kambi za kuhifadhi wakimbizi huko mashariki mwa nchi.

  • UNICEF: Watoto 1,000 wanakimbia vita Sudan Kusini kila siku

    UNICEF: Watoto 1,000 wanakimbia vita Sudan Kusini kila siku

    Jun 20, 2017 09:13

    Huku ulimwengu leo ukiadhimisha Siku ya Wakimbizi duniani, imebainika kuwa watoto 1,000 kila siku hufurushwa makwao nchini Sudani Kusini.

  • Mamia ya Wahamiaji wanyanyaswa na kushikiliwa bila ridhaa yao Libya

    Mamia ya Wahamiaji wanyanyaswa na kushikiliwa bila ridhaa yao Libya

    Jun 15, 2017 02:51

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji IOM limebainisha wasi wasi kuhusu hali ya takribani wakimbizi na wahamiaji 260 wa Somalia na Ethiopia wakiwemo watoto wanaoshikiliwa na wasafirishaji haramu wa binadamu au magenge ya wahalifu nchini Libya bila ridhaa yao.

  • UN inahitaji dola milioni 65 kwa ajili ya wakimbizi wa DRC

    UN inahitaji dola milioni 65 kwa ajili ya wakimbizi wa DRC

    Jun 13, 2017 23:49

    Umoja wa Mataifa umesema unahitaji makumi ya mamilioni ya dola kwa ajili ya wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo waliokimbilia nchi jirani ya Angola.

  • UN yatetea shirika lake linalohudumia wakimbizi wa Palestina

    UN yatetea shirika lake linalohudumia wakimbizi wa Palestina

    Jun 13, 2017 09:32

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuunga mkono shirika la umoja huo linalohudumia wakimbizi wa Kipalestina, baada ya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kutoa wito wa kuvunjwa taasisi hiyo ya kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS