-
Umoja wa Mataifa wakosoa vitendo vya mabavu vya nchi za Ulaya dhidi ya wakimbizi
Nov 13, 2021 11:49Akizungumza katika bunge la Ulaya Filippo Grandi Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR amekosoa vitendo vya mabavu na ukandamizaji wa Umoja wa Ulaya dhidi ya wakimbizi na kusisitiza kuwa siku zote na mara kwa mara tunashuhudia raia wanaotafuta hifadhi barani Ulaya wakifukuzwa kwa mabavu na visingizio vya kisheria kutumika katika kuwanyima hifadhi raia hao.
-
Kupamba moto mgogoro wa wakimbizi barani Ulaya
Nov 11, 2021 10:40Kwa mara nyingine tena, wimbi la wakimbizi wanaomiminika kwenye mipaka ya nchi za Ulaya limeongezeka na kuwa mgogoro mkubwa. Nchi za Ulaya zimeamua kufunga mipaka yao ili kukabiliana na wimbi kubwa la wakimbizi wapya.
-
Maelfu ya wakimbizi wa Kiafghani wanaingia Iran kila siku
Nov 11, 2021 08:09Shirika moja la Ulaya la kushughulikia maslahi ya wakimbizi limeiasa jamii ya kimataifa kuwapa msaada wa chakula na makazi maelfu ya wakimbizi wanaoingia nchini Iran kila siku wakitokea Afghanistan.
-
Syria: Mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi ni haki ya nyakati zote
Sep 24, 2021 06:38Naibu Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Syria amesema kuwa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi ni haki isiyomalizika na ya nyakati zote.
-
Wakimbizi kutoka Afghanistan waanza kuwasili Uganda
Aug 25, 2021 12:57Kundi la kwanza la makumi ya wakimbizi kutoka Afghanistan limewasili nchini Uganda.
-
Mgogoro wa wakimbizi; italia yataka kuitishwe kikao maalumu cha kutafuta suluhisho
Aug 06, 2021 02:24Waziri wa Mambo ya Ndani wa Italia ametoa wito wa kuitishwa kikao maalumu cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa wakimbizi na kugawana wakimbizi hao baina ya nchi za Ulaya kwa uadilifu.
-
Mamia ya wakimbizi wa Kongo DR wamiminika Uganda
Jun 17, 2021 02:29Wakimbizi karibu elfu moja raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasili nchini Uganda katika kipindi cha siku chache zilizopita.
-
UN yaingilia kati mpango wa Kenya wa kufunga kambi kuu za wakimbizi
Apr 10, 2021 08:12Shirika la Kuhudumua Wambizi la Umoja wa Mataifa UNCHR kupitia taarifa iliyotolewa jana mjini Geneva Uswisi, limetangaza kushirikiana na Kenya na kuweka mapendekezo ya hatua za kuchukua ili kupata suluhisho kwa mgogoro wa wakimbizi wanaoishi katika kambi za Dadaab na Kakuma za nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
UN: Hali ya wakimbizi wa Ethiopia nchini Sudan inatia wasiwasi
Nov 12, 2020 11:59Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa una wasiwasi kuhusu hali ya wakimbizi wa Ethiopia wanaoendelea kumiminika katika nchi jirani ya Sudan iwapo raia zaidi watalazimika kukimbia mapigano yanayojiri kati ya jeshi la Serikali Kuu ya Ethiopia na wapiganaji wa Harakati ya Wananchi ya Ukombozi wa Tigray (The Tigray People's Liberation Front (TPLF)) huko kaskazini mwa Ethiopia.
-
Utafiti wa Gallup: nchi za ulimwengu zinashindwa kuvumilia kuwapokea wakimbizi
Sep 23, 2020 12:18Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Gallup unaeleza kuwa nchi mbalimbali zinashindwa kuvumilia kuwapokea wakimbizi.