-
Save the Children yaikosoa Ulaya kwa kuwapuuza watoto wadogo wakimbizi
Sep 02, 2020 14:58Shirika la Save the Children limezikosoa nchi za Ulaya kutokana na zinavyowapuuza watoto wadogo wakimbizi.
-
UN: Umoja wa Ulaya hauwezi kusimamia mgogoro wa wakimbizi
Jul 01, 2020 07:25Kamishna Mkuu wa Wakimbizi wa Umoja wa Mataifa amekosoa utendaji wa Umoja wa Ulaya na udhaifu wa nchi wanachama katika umoja huo katika suala la kufikia mapatano ya kutatua mgogoro wa wakimbizi.
-
Iran ni katika nchi 10 zinazopokea idadi kubwa ya wakimbizi na wahajiri duniani
Jun 20, 2020 07:37Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni katika nchi kumi zinazopokea idadi kubwa zaidi ya wakimbizi na wahajiri duniani.
-
Mapigano na ghasia zasababisha watu milioni 80 kuwa wakimbizi
Jun 18, 2020 18:35Umoja wa Mataifa umesema takriban watu milioni 80 (asilimia 1 ya jamii ya mwanadamu) wamelazimika kuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi zao kutokana na vita na mapigano katika kona mbalimbali za dunia.
-
Malalamiko ya Ujerumani kwa hatua ya Uturuki ya kuzishinikiza nchi za Ulaya kupitia wakimbizi
Mar 04, 2020 08:12Kansela wa Ujerumani Angela Merkel ameitaja hatua ya Uturuki ya kutumia kadhia ya wakimbizi kuishinikiza Ulaya kuwa jambo lisilokubalika kufuatia nchi hiyo kufungua mipaka yake na kupelekea kumiminika Ulaya maelfu ya wakimbizi waliokuwa wakiishi katika kambi huko Uturuki.
-
Makumi ya maelfu ya wahajiri wavuka mpaka wa Uturuki na kuingia Ulaya
Mar 03, 2020 11:28Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki ametangaza kwamba hadi kufikia Jumapili usiku wahajiri wapatao laki moja walikuwa wamevuka mpaka wa nchi hiyo kuelekea Ugiriki na Bulgaria.
-
Polisi na raia wa Ugiriki wapambana na wahajiri wanaoingia Ulaya
Mar 03, 2020 02:24Polisi na kundi la raia wa Ugiriki wamekabiliana na wahajiri wanaovuka mpaka kuelekea Ulaya.
-
Kura ya turufu ya Ugiriki na hatua ya Uturuki ya kuwaweka rehani wakimbizi
Mar 01, 2020 10:39Uingiliaji wa wazi wa askari wa Uturuki katika mkoa wa Idlib nchini Syria, katika kuyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayoendesha harakati zake mkoani humo, umepata uungaji mkono wa Wamagharibi.
-
UNHCR: Watu milioni 70 duniani wamelazimika kuhama makwao
Dec 17, 2019 04:48Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNCHR) linasema zaidi ya watu milioni 70 duniani wamelazimika kuhama kutokana na vita, mizozo na mateso.
-
Watetezi wa haki za binadamu: Marekani si mahala salama kwa wakimbizi
Nov 05, 2019 12:19Watetezi wa haki za binadamu wamekosoa baadhi ya sheria ngumu za uhamiaji za Marekani na kutangaza kuwa nchi hiyo si salama na mahala pa amani kwa wakimbizi katika kipindi cha utawala wa Donald Trump.