-
Wahajiri 20 watiwa nguvuni wakiwa ndani ya malori huko Ubelgiji
Oct 27, 2019 07:31Polisi ya Ubelgiji imetangaza kuwa, imekamata malori mawili yaliyokuwa yamebeba wahajiri 20 wakiwa njiani kupelekwa Uingereza.
-
UN: Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya
Oct 12, 2019 07:57Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, Rwanda imewapokea wakimbizi 189 kutoka Libya kufikia sasa.
-
Ujerumani yatahadharisha kuhusu kukaririwa mgogoro wa wahajiri barani Ulaya
Oct 09, 2019 03:08Horst Seehofer Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani alitahadharisha jana katika kikao cha Mawaziri wa Nchi za Ulaya huko Brussels kuwa, kuna uwezekano wa kukaririwa mgogoro wa wahajiri barani Ulaya kama ule ulioshuhudiwa mwaka 2015.
-
UNHCR: Zaidi ya wahajiri 1,000 wamekufa maji mwaka huu katika bahari ya Mediterania
Oct 02, 2019 04:37Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, zaidi ya wahajiri 1,000 wamekufa maji mwaka huu katika bahari ya Mediterania wakiwa katika juhudi za kuelea barani Ulaya kutafuta maisha mazuri.
-
Papa azikosoa nchi zinazouza silaha na kuwafukuza wakimbizi
Sep 30, 2019 07:45Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis amesema mashindano ya kuuza silaha yanayofanywa na nchi fulani duniani ndiyo sababu ya ghasia na mauaji ya watu wakiwemo watoto wadogo katika nchi zinazoshuhudia vita katika kona mbalimbali duniani.
-
UN: Watu 1,500 wakimbia mauaji na hujuma dhidi ya wageni Afrika Kusini
Sep 21, 2019 07:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa raia wa kigeni zaidi ya 1,500 wanaoishi Afrika Kusini wamekimbia makazi yao kwa kuhofia mashambulizi yanayowalenga wageni hususan raia wa nchi za Kiafrika wanaoishi nchini humo.
-
Rwanda kuwapokea mamia ya wakimbizi waliokwama Libya
Sep 11, 2019 07:01Serikali ya Rwanda imekubali kuwapokea mamia ya wakimbizi na watu wanaotafuta hifadhi waliokwama nchini Libya.
-
Ujerumani yahimiza kuundwa umoja wa nchi za Ulaya wa kuwaokoa wakimbizi
Jul 14, 2019 02:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumaini amesema kuwa kuna ulazima wa kuundwa umoja wa nchi za Ulaya kwa ajili ya kuwaokoa wakimbizi na kutoa mchango wa kimsingi Berlin katika jukumu hilo.
-
Mbunge wa Kongresi ya Marekani: Hali ya vituo vya kuwazuilia wahajiri ni ya kutisha
Jul 03, 2019 02:29Mjumbe wa bunge la wawakilishi nchini Marekani amefichua hali mbaya ya afya katika kambi za kuwazuilia wahajiri kwenye mpaka wa nchi hiyo kuwa ni ya kutisha sana.
-
UN: Vita vimewafanya watu milioni 71 duniani kuwa wakimbizi
Jun 19, 2019 07:39Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema takriban watu milioni 71 wamelazimika kuwa wakimbizi kutokana na vita na mapigano katika kona mbalimbali za dunia.