-
UNHCR: Zaidi ya watu laki 3 wamekimbia mapigano Kongo DR
Jun 18, 2019 12:35Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema zaidi ya watu laki tatu wameikimbia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kipindi cha wiki mbili zilizopita, kutokana na mapigano ya kikabila.
-
Mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil awafariji maelfu ya maskini, wakimbizi wa Syria katika harusi yake
Jun 08, 2019 12:07Mchezaji nyota wa klabu ya Arsenal mwenye asili ya Uturuki siku ya Ijumaa alifunga ndoa na barafu wake wa moyo mwenye uraia pacha wa Uturuki na Sweden, Amina Gulche.
-
UNHCR, SUPKEM zazindua kampeni ya "Ramadhani kwa ajili ya elimu kwa wakimbizi"
May 02, 2019 14:25Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) kwa ushirikiano na Baraza Kuu la Waislamu nchini Kenya (SUPKEM) limezindua kampeni ya kuwasaidia maelfu ya vijana wakimbizi nchini humo wanaokosa elimu.
-
Amnesty International: Idadi ya wakimbizi wa Kisaudia nje ya nchi inaongezeka
Feb 17, 2019 04:35Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, idadi ya raia wa Saudi Arabia wanaoomba hifadhi na ukimbizi katika nchi mbalimbali duniani inaendelea kuongezeka na kwamba, hiyo ni ishara ya kuporomoka sana uhuru wa kiraia, kijamii na kidini nchini humo.
-
UN: Mapigano mapya Sudan Kusini yasababisha watu 13,000 kuwa wakimbizi
Feb 12, 2019 14:14Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema mapigano mapya yaliyoibuka nchini Sudan Kusini yamesababisha watu 13,000 kuwa wakimbizi ndani na nje ya nchi.
-
Wahajiri zaidi ya elfu mbili wameaga dunia katika bahari ya Mediterania mwaka 2018
Jan 04, 2019 16:25Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limetangaza kuwa zaidi ya wahajiri elfu mbili wameaga dunia katika bahari ya Mediterania katika mwaka ulioisha wa 2018.
-
Ukosoaji mkali wa Papa Francis kwa mienendo ya madola ya Magharibi kuhusu wahajiri
Dec 21, 2018 02:37Tatizo la kilimwengu la wahajiri ni ukweli ambao umedhihirika wazi katika miaka ya hivi karibuni tena kwa namna ambayo haijawahi kushuhudiwa.
-
UN yaipongeza Uganda na Chad kwa kuwasomesha watoto wakimbizi
Nov 21, 2018 07:50Umoja wa Mataifa umezipongeza serikali za Uganda na Chad kwa kuwasomesha watoto wakimbizi katika shule za taifa na kuwafanya wawe na utangamano.
-
Russia: Wakimbizi 270,000 wa Syria wamerejea nyumbani
Nov 16, 2018 14:53Jeshi la Russia limetangaza habari ya kurejea nyumbani wakimbizi zaidi ya laki mbili na 70 elfu wa Syria ndani ya miezi michache iliyopita.
-
UNHCR: Watu milioni 12 duniani hawana utaifa
Nov 14, 2018 07:58Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi , UNHCR limesema kuna watu milioni 12 kote duniani ambao hawana utaifa.