Pars Today
Atallah Hanna, Askofu Mkuu wa Wakristo wa Orthodox huko Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu (Jerusalem), amesema kwamba Wakristo wa Quds wamo hatarini zaidi kuliko hapo awali.
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amewatumia ujumbe wa kheri Wakristo wa Iran na duniani kwa ujumla wakati huu wanapoadhimisha sherehe zao za Krismasi.
Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa kamwe hawatauruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwalenga Wakristo katika ardhi za Palestina.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amewaonya makasisi na watawa kuhusu hatari ya kutazama video au picha za ngono (ponografia) mtandaoni akisema "kunadhoofisha moyo wa kipadre".
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja Nabii Isa Masih (AS) kuwa ni nembo ya mapambano dhidi ya madhalimu.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amewatumia salamu za kheri na fanaka Wakristo kote duniani hasa Wakristo Wairani kwa munasaba wa sikukuu ya Krismasi ya kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa Masih AS.
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani ameamuru kuwepo uwazi kamili wa kiuchumi na kifedha baina ya viongozi na wakurugenzi wa Vatican wakiwemo makadinali na kusimamiwa vyema utendaji wao.
Katika miaka ya karibuni nchi ya Iraq imekuwa uwanja wa mashambulio na harakkati ya makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la Daesh ambalo limesababisha madhara makubwa kwa nafsi na mali za wananchi wote wa nchi hiyo, Waislamu na Wakristo.
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amewanasihi wafuasi wa dini ya Kikristo wafungamane na vitendo vyema kama walivyoelekezwa na Nabii Issa Masih (AS).
Atallah Hanna, Askafu Mkuu wa Kanisa la Orthodox katika mji wa Baitul-Muqaddas, amesisitiza kwamba mradi wa utawala haramu wa Israel wa kuuyahudisha mji wa Quds, ni jinai kubwa.