Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wameuawa

  • Kimbunga, maporomoko ya ardhi vyaua watu 16 kisiwani Madagascar

    Kimbunga, maporomoko ya ardhi vyaua watu 16 kisiwani Madagascar

    Mar 10, 2017 14:06

    Kwa akali watu 16 wameaga dunia kufuatia maporomoko ya ardhi katika eneo la Vatomandry, mashariki mwa Madagascar.

  • Mwanachama wa Daesh ajilipua katika sherehe za harusi Iraq na kuua watu 26

    Mwanachama wa Daesh ajilipua katika sherehe za harusi Iraq na kuua watu 26

    Mar 09, 2017 08:04

    Kwa akali watu 26 wameuawa papo hapo katika mripuko wa bomu uliotokea katikati ya sherehe za harusi, karibu na mji wa Tikrit, kaskazini magharibi mwa mji mkuu Baghdad.

  • Watu wanne wauawa mapiganoni Kongo

    Watu wanne wauawa mapiganoni Kongo

    Mar 06, 2017 07:48

    Watu wanne wameuawa katika mapigano kati ya polisi na kundi moja linaloipinga serikali huko Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Wanajeshi kumi wa Mali wauawa na wavamizi wenye silaha

    Wanajeshi kumi wa Mali wauawa na wavamizi wenye silaha

    Mar 06, 2017 07:33

    Duru za kijeshi za Mali zimaerifu kuwa wanajeshi wasiopungua kumi wa jeshi la nchi hiyo wameuawa na watu waliokuwa na silaha.

  • Mamia ya Wasomalia wapoteza maisha kwa maradhi ya kipindupindu

    Mamia ya Wasomalia wapoteza maisha kwa maradhi ya kipindupindu

    Mar 05, 2017 03:54

    Waziri Mkuu wa Somalia ametangaza kuwa zaidi ya watu 100 wamefariki dunia nchini humo kutokana na ugonjwa wa kipindupindu.

  • Waasi 20 wa M23 wauawa mashariki mwa DRC

    Waasi 20 wa M23 wauawa mashariki mwa DRC

    Mar 02, 2017 15:43

    Waasi wasiopungua 20 wameuawa katika mapigano yaliyozuka kwenye siku za hivi karibuni kati ya wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa M23 mkoani Kivu Kaskazini.

  • Kanisa katoliki lajiunga na watetezi wa haki za binadamu, laitaka serikali kukomesha mauaji dhidi ya raia Congo

    Kanisa katoliki lajiunga na watetezi wa haki za binadamu, laitaka serikali kukomesha mauaji dhidi ya raia Congo

    Mar 02, 2017 03:56

    Kanisa Katoliki la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetahadharisha kuhusu utendaji wa jeshi la serikali ya nchi hiyo katika mashambulizi yake dhidi ya wanamgambo wa kundi la Kamounia Nsap kwenye mkoa wa Kasai.

  • Watu kadhaa wauawa katika mripuko wa bomu Libya

    Watu kadhaa wauawa katika mripuko wa bomu Libya

    Feb 26, 2017 16:15

    Gari lililokuwa limetegwa bomu limeripuka katika mji wa Benghazi wa mashariki mwa Libya na kuua na kujeruhi watu kadhaa.

  • 20 wauawa katika machafuko katikati mwa Mali

    20 wauawa katika machafuko katikati mwa Mali

    Feb 26, 2017 15:31

    Serikali ya Mali imetangaza habari ya kuuawa watu 20 katika machafuko ya kikabila yaliyoyakumba maeneo ya katikati mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.

  • 11 wauawa katika makabiliano baina ya jeshi la Nigeria na Boko Haram

    11 wauawa katika makabiliano baina ya jeshi la Nigeria na Boko Haram

    Feb 17, 2017 14:27

    Kwa akali watu 11 wameuawa katika makabiliano kati ya vikosi vya serikali na wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram mapema leo katika mji wa Maiduguri, kaskazini mashariki mwa nchi mwa Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS