-
Watu wasiopungua 30 wauawa Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Feb 11, 2017 07:30Watu wasiopungua 30 wameuawa katika mji wa Tshimbulu Kasai Katikati huko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia mashambulio ya kundi moja la wanamgambo.
-
Hujuma ya anga ya Israel huko Gaza yaua, kujeruhi Wapalestina 7
Feb 09, 2017 07:13Kwa akali Wapalestina wawili wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya watano wakijeruhiwa baada ya ndege ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutekeleza hujuma ya anga katika mji wa Rafah, Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Jeshi la Misri laangamiza magaidi 14 katikati mwa Sinai
Feb 06, 2017 15:03Jeshi la Misri limewaangamiza magaidi 14 katika mkoa wa Sinai na kuwatia mbaroni wengine kumi kufuatia operesheni kali ya jeshji la nchi hiyo katika maeneo hayo.
-
Al-Shabaab yawachinja 'majasusi' wa Kenya na US hadharani
Feb 06, 2017 07:47Kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda limewaua kwa kuwakata vichwa watu wanne wanaoshukiwa kuwa majasusi, kusini mwa Somalia.
-
100 waaga dunia kutokana na maporomoko ya theluji Afghanistan, Pakistan
Feb 06, 2017 07:45Makumi ya watu wamepoteza maisha kutokana na maporomoko ya theluji katika nchi za Afghanistan na Pakistan.
-
Watu 12 wafariki dunia kwenye mgodi nchini Msumbiji
Feb 05, 2017 14:20Kwa akali watu 12 wamepoteza maisha baada ya mgodi kuwaporomokea katika mkoa wa Zambézia nchini Msumbiji.
-
Pentagon yakiri kuua kwa umati watoto na wanawake wa Yemen
Feb 05, 2017 04:28Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imekiri kuwa wanajeshi wa nchi hiyo wamewaua kwa umati wanawake na watoto wadogo nchini Yemen.
-
Wafanyakazi 5 wa UN wauawa mpakani mwa Cameroon-Nigeria
Feb 02, 2017 05:57Wafanyakazi watano wa Umoja wa Mataifa wameuawa katika mazingira ya kutatanisha na watu wasiojulikana katika mpaka wa Cameroon na Nigeria.
-
Al Shabab washambulia kusini mwa Somalia
Feb 01, 2017 15:42Watu wawili wameripotiwa kuuawa baada ya kundi la kigaidi la al Shabab kufanya shambulio kusini mwa Somalia.
-
Daesh yadai imeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa Misri, Sinai
Feb 01, 2017 07:38Kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh limedai kwamba limeua na kujeruhi wanajeshi 20 wa Misri kaskazini mwa eneo la Sinai.