-
Kiongozi wa kundi la al Shabab auawa Somalia
Jan 30, 2017 15:13Afisa mmoja wa ngazi ya juu wa vyombo vya usalama nchini Somalia ametangaza habari ya kuuliwa mmoja wa viongozi wa kundi la kigaidi la wanamgambo wa al Shabab nchini humo.
-
Hujuma za Marekani nchini Yemen zaua watu zaidi ya 50
Jan 29, 2017 14:13Makumi ya watu wameuawa katika wimbi jipya la hujuma za ardhini na angani za makomandoo wa Marekani katika mkoa wa Bayda nchini Yemen.
-
Al-Shabaab yadai kuua askari 66 wa KDF Somalia, Kenya yakanusha
Jan 27, 2017 13:46Jeshi la Kenya limekadhibisha madai yaliyotolewa na kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kwamba limeua makumi ya wanajeshi wa KDF katika kambi ya jeshi iliyoko katika mji wa Kulbiyow, kusini mwa Somalia.
-
11 wauawa Nigeria kwa kushiriki maandamano ya kumuunga mkono Trump
Jan 21, 2017 08:03Wanachama 11 wa harakati ya Biafra nchini Nigeria wanaripotiwa kuuawa na maafisa usalama katika maandamano yaliyofanyika kusini mashariki mwa nchi.
-
Watu 37 wauawa katika shambulizi la bomu kaskazini mwa Mali
Jan 18, 2017 16:39Makumi ya watu wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la bomu karibu na kambi ya jeshi kaskazini mwa Mali leo Jumatano.
-
Maafisa 8 wa polisi wa Misri wauawa kwa kufyatuliwa risasi
Jan 17, 2017 07:14Kwa akali askari polisi wanane wa Misri wameuawa kwa kufyatuliwa risasi na kundi la watu waliokuwa wamejizatiti kwa silaha katika kituo cha upekuzi cha Naqb, mkoa wa New Valley usiku wa kuamkia leo.
-
Makumi wauawa Kongo DR katika mapigano ya kikabila na jeshi
Jan 08, 2017 07:50Ofisi inayoshughulikia masuala ya kibinaadamu ya Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, imetangaza habari ya kuuawa makumi ya watu katika mapigano makali yaliyojiri katikati mwa nchi hiyo.
-
UN: Ghasia na ugaidi vimeua raia karibu 7000 Iraq, 2016
Jan 04, 2017 03:56Umoja wa Mataifa umesema takriban raia elfu 7 wameuawa katika mapigano na mashambulizi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh/ISIS mwaka uliomalizika wa 2016 nchini Iraq.
-
Magaidi 76 wa Daesh waangamizwa katika mji wa Mosul, Iraq
Jan 03, 2017 13:51Vyombo vya usalama nchini Iraq vimetangaza habari ya kuuawa makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul ulioko kaskazini mwa nchi.
-
70 wauawa, kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi Instabul, Uturuki
Jan 01, 2017 04:38Makumi ya watu wanaripotiwa kuuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika hujuma ya kigaidi iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika klabu moja ya anasa mjini Instabul nchini Uturuki.