Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wameuawa

  • Waandishi karibu 100 wa habari wameuawa mwaka huu wa 2016

    Waandishi karibu 100 wa habari wameuawa mwaka huu wa 2016

    Dec 31, 2016 15:07

    Federesheni ya Kimataifa ya Waandishi Habari (IFJ) imetangaza kuwa, waandishi habari 93 wameuawa kwa makusudi au katika machafuko yaliyotokea kwenye maeneo mbalimbali ya dunia katika mwaka huu unaomalizika leo wa 2016.

  • Watu sita wauawa katika shambulio la kigaidi Somalia

    Watu sita wauawa katika shambulio la kigaidi Somalia

    Dec 28, 2016 14:41

    Watu sita wameuawa katika shambulio lililofanywa leo na wanamgambo wenye mfungamano na kundi la kigaidi la al Shabab.

  • Wanne wauawa katika mlipuko wa kigaidi Somalia

    Wanne wauawa katika mlipuko wa kigaidi Somalia

    Dec 12, 2016 13:57

    Mlipuko wa kigaidi uliotokea leo katika mji wa bandari wa Kismayo nchini Somalia umeuawa watu wanne.

  • Makumi wauawa katika mashambulizi ya kigaidi Nigeria

    Makumi wauawa katika mashambulizi ya kigaidi Nigeria

    Dec 10, 2016 03:56

    Makumi ya watu wameuawa katika mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea kaskazini mashariki mwa Nigeria.

  • Watu 31 wauawa katika mapigano mapya Kongo DR

    Watu 31 wauawa katika mapigano mapya Kongo DR

    Dec 06, 2016 15:42

    Makumi ya watu wameuawa katika mapigano kati ya kundi la waasi na maafisa usalama kati kati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

  • Watu wanane wauawa katika mapigano nchini Libya

    Watu wanane wauawa katika mapigano nchini Libya

    Dec 02, 2016 07:41

    Kwa akali watu wanane wameripotiwa kuuawa katika mapigano mapya yaliyotokea katika mji mkuu wa Libya, Tripoli.

  • Watu 55 wauawa katika mapigano magharibi mwa Uganda

    Watu 55 wauawa katika mapigano magharibi mwa Uganda

    Nov 28, 2016 04:25

    Idadi ya watu waliouawa katika mapigano yaliyozuka katika eneo moja magharibi mwa Uganda kati ya vikosi vya usalama na kundi moja lenye silaha inaripotiwa kufikia 55.

  • Makumi wauawa DRC katika mapigano kati ya jeshi na wanamgambo wa Mai-Mai

    Makumi wauawa DRC katika mapigano kati ya jeshi na wanamgambo wa Mai-Mai

    Nov 28, 2016 04:24

    Watu wasiopungua 34 wanaripotiwa kuuawa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kufuatia mapigano yaliyozuka kati ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo wa Mai-Mai mashariki mwa nchi hiyo.

  • Polisi 61 wa Marekani wauawa katika machafuko

    Polisi 61 wa Marekani wauawa katika machafuko

    Nov 27, 2016 16:00

    Maafisa 61 usalama nchini Marekani wameuawa kwa kupigwa risasi tangu mwanzoni mwa mwaka huu hadi hivi sasa.

  • Watu 30 wauawa na waasi mashariki mwa Kongo DR

    Watu 30 wauawa na waasi mashariki mwa Kongo DR

    Nov 27, 2016 15:46

    Watu wasiopungua 30 wameuawa katika mapigano kati ya makundi mawili ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS