-
Afisa wa polisi Somalia auawa katika mripuko wa bomu
Nov 25, 2016 04:50Afisa mmoja wa ngazi ya juu nchini Somalia ameuawa katika hujuma iliyofanywa na magaidi wanaosaidikiwa kuwa ni wanachama wa ash-Shabab.
-
Amnesty: Jeshi la Nigeria limeua wanaharakati 150 wa Biafra
Nov 24, 2016 13:40Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema wanaharakati wapatao 150 wa vuguvugu linaloshinikiza kujitenga jimbo la Biafra wameuawa na jeshi la Nigeria katika kipindi cha mwaka mmoja.
-
Raia, askari 6 wauawa nchini Mali katika ghasia za uchaguzi
Nov 22, 2016 07:54Askari watano wa jeshi la Mali na raia mmoja wameuawa na genge la watu waliobeba silaha, wakati walipokuwa wakisafirisha masanduku ya kupigia kura katika mji wa Dilli.
-
Lori la mafuta laripuka na kuua watu 73 nchini Msumbiji
Nov 18, 2016 07:56Zaidi ya watu 70 wamepoteza maisha baada ya lori la mafuta kuripuka katika mji wa Caphiridzange, mkoa wa Tete kaskazini mwa Msumbiji.
-
Watu 15 wauawa katika mapigano mapya Sudan Kusini
Nov 18, 2016 07:38Kwa akali watu 15 wameuawa katika makabiliano mapya kati ya jeshi la serikali na waasi, katika kijiji cha Adaab el Bahr, Jimbo la Unity, nchini Sudan Kusini karibu na mpaka wa pamoja na Sudan.
-
Watu 31 wauawa katika mapigano ya kikabila huko katika jimbo la Kaduna, Nigeria
Nov 15, 2016 13:45Duru za afya katika jimbo la Kaduna, kaskazini mwa Nigeria, zimearifu juu ya kujiri mapigano makali ya kikabila na kupelekea makumi ya watu kuuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Jeshi Nigeria laua Waislamu 100 wa madhehebu ya Shia mjini Kano
Nov 14, 2016 16:16Waislamu wasiopungua 100 wa madhehebu ya Shia wameuawa leo nchini Nigeria kwa kupigwa risasi na jeshi la nchi hiyo.
-
5 wauawa katika hujuma dhidi ya msafara wa waziri DRC
Nov 14, 2016 07:56Kwa akali watu watano wameuawa katika shambulio lililolenga msafara wa waziri katika mkoa wa Kivu Kusini, huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Makumi wauawa katika mapigano mjini Galkayo, Somalia
Nov 08, 2016 07:22Watu karibu 30 wameuawa na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyozuka kati ya vikosi vya majimbo mawili hasimu yenye mamlaka ya ndani nchini Somalia.
-
Askari 14 wa Nigeria wauawa na Boko Haram
Nov 06, 2016 07:42Kwa akali askari 14 wa jeshi la Nigeria wameuawa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika jimbo la Borno.