-
Wanajeshi wa Israel wamuua mwanamke mjamzito wa Kipalestina na kichanga chake katika Ukingo wa Magharibi
Feb 10, 2025 02:43Wanajeshi wa Israel wamemuua kwa kumpiga risasi mwanamke Mpalestina aliyekuwa na ujauzito wa miezi minane na kichanga kilichokuwa tumboni mwake wakati askari jeshi wa utawala huo ghasibu walipovamia kambi ya wakimbizi ya Nur Shams kaskazini magharibi mwa Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
-
Waislamu waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hijabu
Feb 02, 2025 12:27Waislamu katika maeneo mbalimbali jana waliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hijabu.
-
HAMAS kuwaachia askari 4 wanawake wa Israel kwa Wapalestina 200 akiwemo kamanda wa Muqawama
Jan 25, 2025 06:39Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imesema kamanda maarufu wa Palestina ataachiliwa leo ikiwa ni sehemu ya mabadilishano ya pili ya wafungwa na utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya usitishaji vita katika Ukanda wa Ghaza kuanza kutekelezwa wiki iliyopita.
-
Kocha mwanamke wa Futsal Iran aingia katika orodha ya makocha kumi bora duniani
Jan 07, 2025 12:47Kocha mwanamke wa timu ya Futsali ya Saipa Iran ameng'ara na kuuingia katika orodha ya makocha kumi bora duniani katika chezo wa Futsal.
-
Iran imeweza vipi kuwa na nafasi ya juu katika nyanja za afya ya wanawake wajawazito?
Jan 03, 2025 14:19Moja ya masuala muhimu ambayo yameonekana katika miongo miwili iliyopita ni nafasi ya juu ya mfumo wa afya wa Iran kati ya nchi za kanda ya Asia Magharibi na dunia kwa ujumla.
-
Ukatili wa kijinsia unazidi kuongezeka Kenya, matukio zaidi ya 7,000 yameripotiwa katika mwaka mmoja
Dec 25, 2024 06:54Kenya inakabiliwa na ongezeko la kutisha la ukatili wa kijinsia, baada ya kesi zaidi ya 7,100 kuripotiwa tangu Septemba 2023, ikiwa ni pamoja na mauaji 100 yaliyorekodiwa ya wanawake tangu Agosti mwaka huu. Hayo ni kwa mujibu wa rekodi za serikali.
-
Wanawake wa Iran wang'ara katika sekta ya sayansi na teknolojia
Dec 24, 2024 03:30Wanawake wa Iran wameng'ara katika sekta ya sayansi na teklojia na kuliletea taifa mafanikio makubwa katika uga huu.
-
Nandi-Ndaitwah atangazwa rasmi mshindi wa uchaguzi na kuwa rais wa kwanza mwanamke Namibia
Dec 04, 2024 06:39Namibia imepata rais wake wa kwanza mwanamke baada ya mgombea wa chama tawala cha SWAPO na Makamu wa Rais wa nchi hiyo Bi Netumbo Nandi-Ndaitwah mwenye umri wa miaka 72, kutangazwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika wiki iliyopita.
-
Mke wa zamani wa Laurent Gbagbo kugombea urais Ivory Coast
Dec 01, 2024 11:33Orodha ya wagombea wa urais nchini Ivory Coast imezidi kuwa kubwa. Mgombea aliyejitokeza hivi karibuni zaidi ni mke wa zamani wa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Laurent Gbagbo.
-
Uchaguzi mkuu kufanyika Namibia Jumatano, uwezekano wa rais mwanamke
Nov 26, 2024 13:21Raia wa Namibia watapiga kura siku ya Jumatano kumchagua rais mpya na wabunge wa Bunge la Kitaifa katika kinyang'anyiro ambacho wataalamu wanaamini kuwa kinaweza kuwa na ushindani mkubwa zaidi tangu uhuru wa nchi hiyo mwaka 1990.