Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wanawake

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mtazamo wa Magharibi kuhusu mwanamke ni wa kimaslahi

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Mtazamo wa Magharibi kuhusu mwanamke ni wa kimaslahi

    Dec 27, 2023 14:27

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kislamu mapema leo amehutubia maelfu ya wanawake na wasichana ambako amebainisha mtazamo wa kimantriki wa Uislamu kuhusu nafasi ya wanawake katika familia na shughuli kijamii, siasa na uongozi katika ngazi mbalimbali na kusisitiza kuwa: Katika Uislamu, njia ya shughuli zozote za kijamii ziko wazi kwa wanawake, sawa na ilivyo kwa wanaume, kwa sharti kwamba mambo mawili muhimu yazingatiwe, yaani suala la familia na kuchunga hatari ya mvuto wa kijinsia.

  • Mama wa miaka 70 Uganda awa mwanamke mkongwe zaidi kujifungua Afrika

    Mama wa miaka 70 Uganda awa mwanamke mkongwe zaidi kujifungua Afrika

    Dec 01, 2023 06:47

    Ajuza wa miaka 70 huko nchini Uganda ameingia katika madaftari ya kumbukumbu kwa kuwa mwanamke wa kwanza mwenye umri mkubwa kujifungua barani Afrika.

  • Gabon yatangaza Baraza la Mawaziri, mwanamke apewa wizara ya ulinzi

    Gabon yatangaza Baraza la Mawaziri, mwanamke apewa wizara ya ulinzi

    Sep 11, 2023 06:59

    Serikali ya mpito ya Gabon imetangaza Baraza jipya la Mawaziri, na kumteua mwanamke kuwa waziri wa ulinzi.

  • Mwanamke mweusi mjamzito auawa kwa kupigwa risasi na askari polisi Marekani

    Mwanamke mweusi mjamzito auawa kwa kupigwa risasi na askari polisi Marekani

    Sep 02, 2023 06:38

    Polisi katika jimbo la Ohio nchini Marekani wametoa taswira ya filamu ya kamera zinazovaliwa na askari polisi inayoonyesha mwanamke mweusi mjamzito aitwaye Ta’Kiya Young akipigwa risasi, jambo ambalo limeibua taharuki na hasira ya umma huku kukitolewa wito mpya wa kukomeshwa ukatili mbaya unaofanywa na polisi wa nchi hiyo.

  • Kuaga kwa uchungu kwa mwanamke na msichana wa Kipalestina, na kimya cha Wamagharibi mbele ya jinai ya Kizayuni

    Kuaga kwa uchungu kwa mwanamke na msichana wa Kipalestina, na kimya cha Wamagharibi mbele ya jinai ya Kizayuni

    May 11, 2023 03:07

    Katika mashambulizi yaliyofanywa juzi na utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza ambapo Wapalestina 15 waliuawa shahidi, zilichapishwa picha za uchungu huzuni za mwanamke na msichana mdogo wakiwaaga watu wa familia zao waliouliwa na jeshi la Israel, jambo ambalo limeumiza nyoyo na kuwatia watu simanzi na huzuni kubwa.

  • Trump ashtakiwa rasmi katika kesi ya utoaji

    Trump ashtakiwa rasmi katika kesi ya utoaji "kiziba mdomo" kwa mwanamke muigizaji

    Mar 31, 2023 07:10

    Mahakama kuu ya New York imemfungulia mashtaka rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ya kosa la kulipa pesa za kiziba mdomo kwa mwanamke muigizaji wa filamu za ngono kuelekea uchaguzi wa rais wa mwaka 2016.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan: Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan: Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake

    Mar 09, 2023 07:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amesema, Uislamu ni mlindaji mkubwa zaidi wa haki za wanawake.

  • Hali mbaya ya haki za wanawake katika nchi za Magharibi na madai ya uongo ya nchi hizo dhidi ya Iran

    Hali mbaya ya haki za wanawake katika nchi za Magharibi na madai ya uongo ya nchi hizo dhidi ya Iran

    Mar 08, 2023 08:13

    Kwa mtazamamo wa harakaharaka, hali ya wanawake katika nchi za Magharibi zinazodai kutetea haki za wanawake inaonyesha kuwa wanawake na wasichana katika nchi hizo wanakabiliwa na hali mbaya sana ambapo haki zao za kibinadamu zinapuuzwa na kukiukwa wazi wazi.

  • Mwanamke mmoja anaaga dunia ndani ya kila dakika 2 kwa ujauzito au akijifungua

    Mwanamke mmoja anaaga dunia ndani ya kila dakika 2 kwa ujauzito au akijifungua

    Feb 24, 2023 03:07

    Umoja wa Mataifa umesema mwanamke mmoja anafariki dunia ndani ya kila dakika mbili, kutokana na matatizo anayokumbana nayo akiwa mjamzito au wakati wa kujifungua.

  • Gharibabadi: Magharibi inatumia suala la wanawake kuzishinikiza nchi huru

    Gharibabadi: Magharibi inatumia suala la wanawake kuzishinikiza nchi huru

    Jan 27, 2023 02:47

    Afisa wa ngazi ya juu wa haki za binadamu nchini Iran amesema nchi za Magharibi zinatumia suala la wanawake kuziweka chini ya mashinikizo nchi huru duniani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS