Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wapinzani

  • Burundi: Hatutaki mazungumzo ya amani na upinzani

    Burundi: Hatutaki mazungumzo ya amani na upinzani

    Jun 11, 2016 07:35

    Licha ya juhudi za kimataifa na za kieneo za kutaka kutatuliwa mgogoro wa Burundi, lakini serikali ya nchi hiyo imesema haiko tayari kufanya mazungumzo na viongozi wa upinzani.

  • Wapinzani wa serikali ya DRC wakutana nchini Ubelgiji

    Wapinzani wa serikali ya DRC wakutana nchini Ubelgiji

    Jun 10, 2016 07:22

    Vyombo vya habari vimeripoti habari ya kukutana wapinzani wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo nchini Ubelgiji.

  • Upinzani kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi

    Upinzani kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya amani ya Burundi

    May 25, 2016 04:07

    Muungano mkuu wa upinzani nchini Burundi unaoitwa CNARED umesema uko tayari kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya amani iwapo utaalikwa rasmi.

  • Upinzani Kenya: Wabunge wa Jubilee wanapanga njama ya kuahirisha uchaguzi mkuu 2017

    Upinzani Kenya: Wabunge wa Jubilee wanapanga njama ya kuahirisha uchaguzi mkuu 2017

    May 23, 2016 03:33

    Viongozi wa upinzani nchini Kenya wamedai wabunge wa muungano tawala wa Jubilee wanapanga njama ya kuvuruga maandamano yao ya amani ambayo hufanyika kila Jumatatu kwa lengo la kushinikiza kujiuzulu makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka IEBC, ili itangaze hali ya hatari na hatimaye kuahirisha uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwaka ujao wa 2017.

  • Serikali ya DRC yamruhusu kiongozi wa upinzani Moise Katumbi akatibiwe nje ya nchi

    Serikali ya DRC yamruhusu kiongozi wa upinzani Moise Katumbi akatibiwe nje ya nchi

    May 21, 2016 04:12

    Duru rasmi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinaripoti kwamba, Moise Katumbi mwanasiasa aliyetangaza nia ya kuwania kiti cha urais katika uchaguzi ujao na ambaye anakabiliwa na kesi ya kuajiri mamluki ameruhusiwa kutoka nchini humo kwa ajili ya kwenda kupatiwa matibabu nje ya nchi.

  • Besigye: Huenda nikauawa kwenye gereza la Luzira, Uganda

    Besigye: Huenda nikauawa kwenye gereza la Luzira, Uganda

    May 19, 2016 07:16

    Kinara wa upinzani nchini Uganda, Dakta Kizza Besigye amesema maisha yake yamo hatarini na kwamba yumkini atauawa katika gereza kuu la Luzira, ambako anazuiliwa kwa sasa.

  • Besigye kuendelea kuzuiliwa wakati Rais Museveni wa Uganda akiapishwa

    Besigye kuendelea kuzuiliwa wakati Rais Museveni wa Uganda akiapishwa

    May 12, 2016 08:02

    Katika hali ambayo Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda anatazamiwa kuapishwa wakati wowote tokeo sasa, kinara wa upinzanai nchini humo Dakta Kizza Besigye anaendelea kuzuiliwa katika jela ya Nalufenya wilayani Jinja eneo la Karamoja.

  • Malalamiko ya chama tawala nchini Afrika Kusini dhidi ya matamshi ya wapinzani

    Malalamiko ya chama tawala nchini Afrika Kusini dhidi ya matamshi ya wapinzani

    Apr 27, 2016 02:33

    Chama tawala nchini Afrika Kusini kimetoa taarifa na kutangaza kuwa, matamshi ya Julius Malema mmoja wa wapinzani wa Rais Jacob Zuma ni hiana na usaliti dhidi ya maslahi ya kitaifa na kwamba, serikali ya nchi hiyo itamshtaki.

  • Machar: Nisilaumiwe, serikali ya Juba imenizuia kuingia nchini, yumkini nitasafiri Jumatatu

    Machar: Nisilaumiwe, serikali ya Juba imenizuia kuingia nchini, yumkini nitasafiri Jumatatu

    Apr 24, 2016 07:30

    Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar amesema binafsi anatamani kusafiri kwenda mji mkuu wa nchi hiyo Juba lakini serikali ya Rais Salva Kiir ndio imemnyima kibali cha kuingia mjini humo.

  • Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini chaahidi 'serikali ya ukweli'

    Chama kikuu cha upinzani Afrika Kusini chaahidi 'serikali ya ukweli'

    Apr 24, 2016 02:49

    Chama kikuu cha upinzani nchini Afrika Kusini cha Muungano wa Kidemokrasia (DA) kimezindua ilani yake ya uchaguzi katika jiji la Johannesburg, kitovu cha uchumi na moja ya maeneo kiliyokusudia kuyanyakua kutoka mikononi mwa chama tawala cha ANC katika uchaguzi wa mabaraza ya miji utakaofanyika mwezi Agosti.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS